Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 3,997
- 5,437
Asalaam ya week end!
Hii kitu mwanadada wetu wa mitindo huko duniani marekena Flavian Matata ameipost, imezua utata mtaani.
Je, ni post mahsusi kushtua uongozi kua hali ni mbaya kufikia hivi au ni kitu gani kipo nyuma ya pazia?
Maana naona mambo ya Misri yalianzaga hivi hivi, wenye ukaribu na Rais mfikishieni hii post aisidanganywe na wanaomuunga mkono.
=======

Flavian Matata said:Kuna mtu kaniandikia Instagram anamani kujiua sababu ya ugumu wa maisha. I don’t know this person ila naogopa na bahati mbaya i cant help kila anayeniomba msaada. I tried to talk some senses to him ila bado, where do we report such people in Tanzania??! Help please