Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sengerema. Wakiwa wanajiandaa kupiga vigeregere baada ya mazungumzo ya mahari ya binti yao kumalizika, ndugu wanne wa familia moja wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi. Ndugu hao wakiwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
WAKAZI wa Kata ya Saranga wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam, wamesherehekea kilele cha Wiki ya Maji kwa furaha, baada ya kuanza kupata majisa ya bomba, ambayo hawajawahi kupata tangu Uhuru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa. Kuna tabia ambayo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amezungumzia mahusiano yake na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe na kusema atakuwa na mahusiano mazuri na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau nimeona niwaletee huu ujumbe baada yakuona watu mjini na magari yao wamebandika stiker hizi nahisi wao wanaona kubandika sticker ya APPLE Niujanja fulani bila kufahamu mahudhui yaliyobebwa...
1 Reactions
37 Replies
12K Views
Mimi sielewi, mnisaidie. Ivi ajari ya ndege ikitokea, hakuna hata uwezekano wa mtu kujitosa huko angani akaluka na palachuti, au ikitokea basi nikusubili kifo tu, au mimi ndo sijui. Maana...
3 Reactions
155 Replies
15K Views
Leo ningesafiri na kampuni ya mabasi super sami T 203 DHM kutoka Mwanza to Dsm, nimekereka sana. Kazi ya udereva ni moja ya kazi ngumu sana na inahitaji mtu apumzike hususan unaposafiri umbali wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu Tukikumbuka vizuri kulikua na mkataba wa ujenzi kati ya serikali na TBA kwenye ujenzi wa majengo ya magereza toka 2016 lakini hadi Leo 2019 walikua hawajakamilisha. Mh.raisi...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
INASIKITISHAAA SANA SANAA TAA WANABAGUA NANI WAKUINGIA NDANI..SWISSPORT WARUHUSIWE KUKAA GETINI KAMA ILIVYOKUWA MWANZO.. KAMA DIWANI ANASHINDWA KUHESHIMIKA KULIKO MWANAHABARI DEMN AMEKUFA...
5 Reactions
67 Replies
11K Views
Wakili Shukuru Mlwafu amefariki dunia jijini Dodoma asubuhi ya leo - Machi 17, 2019. Shukuru atakuwa anakumbukwa na wana JamiiForums kuwa Wakili katika Kesi dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandao...
24 Reactions
83 Replies
25K Views
"Mods naomba msiifute post hii kwasababu Ni very sesitive" na ni taarifa rasmi" Habarini Wadau Nimefanya kazi katika halmashauri Tatu hivi sasa; ila nimegundua uzembe mkubwa na wa wazi katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello JF! Mara kwa mara kwenye debates humu zinazohusu lugha ipi ifundishwe mashuleni huwa mnasema lugha ya kiingereza sio lazima as sehemu Kama China, Singapore wanajiweza kiuchumi na hawatumii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu? bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, wakuu naishi Mtwara japo ni mzaliwa wa Iringa,miaka 24 iliyopita na nimehitimu mafunzo ya ualimu Grade A mwaka 2018. Mwaka juzi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna mtu nikonae yaani mpenzi ambaye kwa kipindi chote nimekuwa mwaminifu sana kwake sikuwahi kufikilia kumsaliti kwa namna yoyote hata kumuongopea. Baada ya muda akaanza kubadilika kuwa mkali...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Wadau salaam Nilikuwa napita social media nikakutana na hii taarifa ya kifo cha Professa Idrissa Mtulia. Ni kweli prof. amefariki na taarifa zinasema aliaga dunia akiwa usingizini. Upotoshwaji...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaliyokwisha tokea yametokea... Yaliyokwisha jiri yamejiri.... Sasa vumbi linaelekea kutulia japo ni kama kuna chokochoko mpya inatafutwa na hapa hatafutwi mwingine bali Maalim Seif aliyekuwa...
24 Reactions
101 Replies
9K Views
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati. Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa...
9 Reactions
105 Replies
15K Views
Natumaini wana Jf weekend imeanza salama. Naomba tueleweshane kwenye mambo haya: 1.Unakuta mtu kwa mwezi amechangia watu sita michango ya harusi hapo mshahara wake ni 650,000 unajiuliza huu...
2 Reactions
4 Replies
882 Views
naomba wanajukwaa mwenye kujua atujuze .hivi channel za ndani zimefungwa kwa manufaa ya nani ?maana ukiwa kenya unaona ukiwa uganda unaona ukiwa maeneo mengi tu nje ya tanzania unazipata ila ukiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ni siku ya maji duniani, wakati Waziri wa maji alipofika wiki iliyopita Wilayani Ukerewe maji yakatoka kwa siku 2. Kwa sasa maji yamekuwa ni shida kubwa wilaya ambayo inazungukwa na ziwa...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Back
Top Bottom