Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa maoni yangu, najua muda sio mrefu Jahazi litang'oa Nanga, napendekeza aongezwe Mtaalamu, Mbobevu, Nguli katika tasnia hiyo na mwenye mbwembwe katika kutumia kipaza, sio mwingine ni miongoni...
6 Reactions
226 Replies
32K Views
Mufti sheikh Abubakar Zubeir amewataka waislamu kote nchini kufanya swala maalum ya kuomba mvua za heri mufti amewataka waislamu wa taasisi na madhehebu yote nchini kuungana na kuhudhuria kwenye...
10 Reactions
121 Replies
12K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka bodi za mazao nchini kujisajili kwenye alama za msimbomilia inayosimamiwa na GS1 Tanzania kwa lengo la wakulima kunufaika na uuzwaji wa bidhaa hizo nje ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nasikia lakini siamini, ebu mnisaidie. Nasikia ghalama zakuweka umeme bila nguzo ni shilingi f25 tofauti na zamani ambapo ilikuwa 170,000. Nasikia punguzo limekuja baada ya kodi zote kuondolewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa. Kwa jinsi hali inavyokwenda tunamhitaji zaidi Mungu kuliko wakati wowote. Joto linatisha 40 degree centigrade siyo mchezo, watoto hawalali wanaukurutu mwili mzima...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Katika kile kinachoonekana kukithiri kwa hali ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji ya kiungo hicho...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Ajali imetokea Leo mjini Bukoba ambapo gari la Frester linalotoka bukoba kuelekea mwanza limegonga dar lux linalotoka bukoba kwenda dar Kwa nyuma wakati yanatoka stendi kuu BUKOBA: BASI LA...
2 Reactions
126 Replies
25K Views
Ni sawa kabisa kuzuia uharibifu wa misitu na halmashauri Zako zinafanya vema lakini hizi mbao na mikaa inayokamatwa mbona inaharibika na maamuzi hayatolewi haraka. Tunahitaji madawati Peleka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu karibuni kesho kwenye tukio la Mimi kutoa msaada Kwa kuwawezesha wananchi wanaoishi maisha ya kawaida wapande maisha ya juu. Ila nitapenda waandishi wa habari wawepo ili by saa mbili usiku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia kumbukumbu mbalimbali kuangalia ni shule gani ya sekondari ambayo kwa sasa ina viongozi wengi kuliko zote hapa nchini. Hii imezikimbiza shule za zamani kam Nsumba, Pugu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
KUTOKANA na kukua kwa kasi kwa shughuli za uchimbaji na utafutaji wa madini katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, sekta hiyo inatarajiwa kushika nafasi ya kwanza kwa kutoa kiasi kikubwa cha...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni bora ufuge kuku wa kienyeji kuliko gharama ya kufuga watu wazima 18+yrs wasiojielewa! Kama una mfanyakazi unaemfundisha jambo lilelile kila siku haelewi -FUKUZA kama una mbwa ambae habweki...
57 Reactions
111 Replies
16K Views
Licha ya dunia kupiga hatua kwenye technology na kuwa na wataalam wengi wa genetics,madaktari nk lakini bado watu wanazidi kukumbwa na matatizo ya kisukari na pressure na kupeleka vifo vingi So...
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Kumetokea na tetemeko la ardhi hapa mjini Mbeya kwa mda kama wa sekunde tano mpaka kumi na kuacha taharuki katika maneo ya hapa mjini. Baadhi ya wananchi wameonekana wakikimbia kimbia huku na...
16 Reactions
185 Replies
31K Views
Waumini wa dini ya kiislamu jijini Dar es Salaam wameungana kwa pamoja katika ibada ya kuombea mvua inyeshe na kuondoa hali ya ukame ambayo ni changamoto. Hivi karibuni Mufti sheikh Abubakar...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Kwanza niombe radhi kama kuna mtu atakwazika na maada husika, Kuna siku mke wangu alipata tatizo fulani ikabidi twende hospital, tukachukua vipimo na kupata dawa Nikaona kwa vile...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki ambapo Serikali yetu inapambana kuhakikisha wahitimu wa vyuo walionufaika na mikopo wanalipa madeni yao hata kidogokidogo.Nashauri serikali kuwapa kipaumbele kwenye ajira...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Katibu Mkuu wa askofu Jimbo katoliki Morogoro akanusha taarifa za kifo cha Askofu Mkude. Katibu Mkuu amesema kuwa Baba Askofu hajambo kabisa. Amesema Askofu alilazwa BP ilikuwa juu Jumatatu...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari za wikendi wadau Nimepigwa na butwaa kwa vyeti vya kuzaliwa vinavyotolewa na RITA miaka ya hivi karibuni kusomeka sio uthibitisho wa uraia wa mhusika,hii imekaaje? Mbona vyeti vya zamani...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
poleni na majukumu wakuu! wakati nasoma nilifundishwa kuwa dunia ni oblate sipheriod kwa maana ina umbile la mviringo. Leo nimepata swali kichwani mwangu, je ndege ikipaa angani na kuanza safari...
5 Reactions
84 Replies
16K Views
Back
Top Bottom