Hivi ni kweli wachina wanafunga mvua ishinyeshe?

Hivi ni kweli wachina wanafunga mvua ishinyeshe?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,531
Kutokana na mabadilliko ya hali ya hewa kila sehemu jua kuwa kali tofauti na kawaida kila sehemu kuwa na jua kali na joto hadi usiku watu kulala nje kumekuwa na sintofaham ya hii hali hadi watu kuchukulia hii hali kuwa eti kutokakana na miradi inayoendelea ya ujenzi za babrabara na reli kuwa waliopewa miradi hiyo eti wamefunga mvua isinyeshe hadi wamalize ujenzi wao
Je?kuna mahusiano yoyote na yasemwayo au ni imani potofu za watu.
 
Mimi ninakubali mkuu..

Nakumbuka wakati wa ujenzi wa mfugale, nilikuwa napita tazara, nikakuta mvua inanyesha bguruni sheli wakati pale tazara pakavu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

hakika ujinga bado ni janga nchini tanzania
 
Write your reply...
hapa mtaani kwetu kuna mganga mmoja tukikaa naye basi ananipiga saundi kinoma yan,mi namsikiliza tu,utakuta anakwambia " we si unaona mvua hainyeshi eee ni waturuki hao,jamaa wameifunga mvua,jamaa ni wachawi balaa,hawafai hata kwa kurumagia,hadi wamalize ndo itanyesha"mi nacheka tu kimoyo moyo
 
Huyo mchina anafunga mvua tanzania nzima? Hebu mambo mengine tujiongezeni. Kama atafunga mvua anaipeperusha kwa eneo analofanyia kazi tu kama ni kweli.

Piya tumeacha mila za wazee wetu walokuwa wakipanda mlimani wakitambia jioni yake mvua yaja tumekumbatia imani za mwarabu na mzungu
 
Back
Top Bottom