Mwili wa aliyekuwa Afisa wa Wizara ya Nishati Mery Mkwaya Maramo aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika Makaburi ya Pugu Mwakanga jijini Dar es Salaam, Usiku wa kuamkia leo watu...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI KUHUSU WAFANYAKAZI TPA KUFIKISHWA KORTINI
Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na taarifa yenye kupotosha...
Inawezekana kabisa, Watu wasio Elimu ama Ujuzi fulani kukalia Vyeo au nafasi wasizokua na Vigezo nazo ama uwezo. Wakawa miongoni mwa Watoa Maamuzi na wananufaika wakuu wa fursa na manufaa...
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza.
Yaani awe anavuta bangi then...
Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter alipokuwa akizungumzia tukio la uungwaji wa reli ya treni za Umeme, Standard...
Kwa lugha ya nyumbani ya kinyakyusa anaitwa Sogosela,lakini ni aina ya ndege wanaojulikana kama Weaverbird,maarufu kwa kutengeneza viota na kula mpunga mashambani
Habari zenu wadau wa jf,
Naombeni kujua zipi changamoto hatarishi za kushiriki SUNGUSUNGU wa kujitolea mtaani maana utaratibu huo umeanza mtaani kwetu kutokana matukio ya uvamizi majumbani wakat...
Nilikaa na mwanasaikorojia mmoja akaniambia haya
Umri kuanzia 1 mpaka miaka14 huu muda mtoto anautumia kujifunza na ndio maana watoto wa lika hili wanamaswali mengi mpaka kero.
Ukikaa na mtoto...
Serikali iko katika hatua za awali za kuandaa mpango wa uagizaji wa gesi ya mitungi (LPG) kwa pamoja kama ilivyo kwa mafuta ya Petroli hali itakayosaidia kudhibiti masuala mbalimbali ikiwemo bei...
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia...
Yaani inaboa ukifika ndani ya jumba la kusubiria ndege mna joto AC hazifanyi kazi,unaona kabisa abiria wanavuja jasho,hii ni aibu kwa Taifa ukizingatia kuwa wageni wengi wanatumia huduma za uwanja...
Huyu mzee amefanya kazi iliyotukuka ya kuumbua majizi nyangumi kama sio papa ndani ya awamu ya tano.
Huyu ni msomi wa kuigwa na wala huwezi kumlinganisha na Mr. Borapesa Lipumba.
Ila kuna genge...
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanza kutoa huduma katika ofisi zake kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Sultan bila shaka utakubaliana nami kwamba sio tu ni ngumu kwa kiongozi kuwa na taarifa sahihi bali pia ni hatari zaidi anapozungukwa na watu wanaomsifia...
Sharing is caring.
Unachokiona share na wenzanko. Mimi sioni mwanga mwisho wa tunnel, ni giza nene nahisi tumepotea njia. Hii traini inakwenda kasi sana na kama tunaenda uelekeo usio wenyewe...
Natumaini hata kwa wateja wengine wa VodaCom mmeshawahi kupigiwa simu na namba hii +255 901761234 ikiwa na matangazo mbalimbali.
VodaCom naomba mtujuze kama mnalipa kodi ya tangazo hili na kwa...
Ni kwa Nini Serikali inazuia uhamisho wa wanafunzi msingi na sekondari kutofanyika mda wote? Mfano sasa hivi huwezi kuhamisha mwanafunzi hadi mwezi june au december. Hoja kubwa huwa ni nini kwenye...
WATANZANIA hatuna budi kupiga vigelegele, makofi na hoihoi za shangwe! Hatuna budi kucheza mdundiko, lizombe, gita, mganda, na mdumange! Hatuna budi kutunga tenzi, ngonjera na nyimbo za sifa kwani...
Jamani nimepokea hii kwenye PM yangu nikiombwa niiweke hapa JF ili kuhamasisha watanzania (watakaopenda) kumuunga mkono Rachel Temu anayeshiriki kwenye MISS AFRICA UNITED STATES.
Admin naomba...
Airbus delivers first superjumbo
The first commercial A380 flight will take place on 25 October
Airbus has delivered its first finished A380 superjumbo jet to Singapore Airlines, 18...