Suala la Nassari lina sura mbili

Suala la Nassari lina sura mbili

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
226
Reaction score
275
Ni hivi suala la Nassari lina sura mbili kwa maana litaisha kwa maono mawili ninayoyaona mimi binafsi kama ifuatavyo

1. Serikali ya Magufuli inatupima

Yaani amefutiwa ubunge yeye je sisi tunareact vipi hili suala kama tutalichukulia poa basi utakuwa mwanzo wa kufutiwa ubunge wengine ambao wanaisumbua serikali ya Magufuli na kununuliwa imeshindikana kwa hiyo kama kwetu tumelichukulia kawaida kuanzia kwa Mbunge mwenyewe husika, chama husika, vyama vyengine vya upinzani, watetezi wa katiba na sheria, wananchi na wahusika wowote wa jambo hili bado tutegemee wabunge wengine zaidi kuvuliwa nipo na mtakubali hili suala ninalosema. Na tulipofikia sasa kuanzia Nassari, Chadema na wananchi kwa ujumla hili jambo tumelibariki serikali kulifanya.

2.Huu ni mpango wa Nassari kwa kushirikiana na CCM

Hoja hii ipo hivi ukiangalia toka anavyovuliwa ubunge, muda aliokuja kujibu hili swala na utetezi aliotoa kujitetea, maneno aliyoongea jana ilivyotoka hukumu yake unaona kabisa alitegemea hili kutokea na wala hana wasiwasi wala uchungu kwa wapiga kura wake na ni mbinafsi na kama kuna kitu anakitegemea na sisi anatuzuga na mwisho wa siku utasikia ameenda CCM au amejitoa Chadema ila jasho letu litamchoma kwa ni kitu anachotegemea.

Hayo ni maono yangu binafsi nahisi mwisho wa siku hili jambo litaisha kwa matukio hayo mawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo pia linawwzekana ! Kwa maono yangu nahisi Nassari anaweza hapo baadaye akatangaza kuwa yeye na mambo ya kujishughulisha na siasa basi,kwamba atabaki neutral huku akituaminisha kuwa atapenda kutumia muda wake mwingi kushughulika na mambo yake binafsi mathalani familia yake kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa ! Halafu later movie itaendelea kwa jiwe kumchagua kwa nafasi fulani huko serikalini even kwa kumpa ukuu wa wilaya.Hapo biashara ya kuuzwa jimbo imekamilika vizuri tu.Halafu 2020 CCM wakamsimamisha Nassari tena kugombea jimbo ! Thats how politics works
 
Ni hivi suala la Nassari lina sura mbili kwa maana litaisha kwa maono mawili ninayoyaona mimi binafsi kama ifuatavyo

1. Serikali ya Magufuli inatupima

Yaani amefutiwa ubunge yeye je sisi tunareact vipi hili suala kama tutalichukulia poa basi utakuwa mwanzo wa kufutiwa ubunge wengine ambao wanaisumbua serikali ya Magufuli na kununuliwa imeshindikana kwa hiyo kama kwetu tumelichukulia kawaida kuanzia kwa Mbunge mwenyewe husika, chama husika, vyama vyengine vya upinzani, watetezi wa katiba na sheria, wananchi na wahusika wowote wa jambo hili bado tutegemee wabunge wengine zaidi kuvuliwa nipo na mtakubali hili suala ninalosema. Na tulipofikia sasa kuanzia Nassari, Chadema na wananchi kwa ujumla hili jambo tumelibariki serikali kulifanya.

2.Huu ni mpango wa Nassari kwa kushirikiana na CCM

Hoja hii ipo hivi ukiangalia toka anavyovuliwa ubunge, muda aliokuja kujibu hili swala na utetezi aliotoa kujitetea, maneno aliyoongea jana ilivyotoka hukumu yake unaona kabisa alitegemea hili kutokea na wala hana wasiwasi wala uchungu kwa wapiga kura wake na ni mbinafsi na kama kuna kitu anakitegemea na sisi anatuzuga na mwisho wa siku utasikia ameenda CCM au amejitoa Chadema ila jasho letu litamchoma kwa ni kitu anachotegemea.

Hayo ni maono yangu binafsi nahisi mwisho wa siku hili jambo litaisha kwa matukio hayo mawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana alipokuwa anaongea na wahandishi wa habari,akawa anatajia mala amewahi kunusurika kwenye ajari ya ndege,mala risasi ilimkosa ikaua mbwa wake,!sasa nikjiuliza yote hayo yanahusika VP na hili swala LA sasa HV?alikuwa anaongea harakaharaka kama vile anataka aondoke fasta mbele ya wahandishi wa habari,
Maneno ni kama alikuwa ameyatayarisha,badala ya kudadavua kisheria au kwa njia nyepesi ili tuelewe unyama aliotendewa,
Huyu ameishakula mlungula wa Lumumba,anatafuta jinsi ya kutoka tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ennh

Ukipewa kazi ya umma kama ubunge umekubali kuwa umma utakuwa kipaumbele chako mara zote. Nasari kukacha vikao bila kuomba ruksa timilifu Kwa wakuu wake wa kazi ni Sawa na Dr kuacha kwenda kazini bila ruksa wakati akisubiriwa na wagonjwa wake. Askali akiacha lindo bila ya kupewa ruksa adhabu yake ni Kali.

Alichokifanya sio vigumu kudhani kuwa alivuta fedha ndefu kuliachia Jimbo.
 
Yalishaisha haya tushayazika na mbunge mpya ameshatangazwa juzi dodoma. Fanya mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Yameisha ila kajifunza somo kuwa sheria ni msomeno, mfanyakazi hawezi kwenda tiba bila sick sheet ya kazini, kwani husainiwa na afisa wa utawala kwa niaba ya mkuu wa Idara au “Bunge” kwa yeye Nassari! bila hivo baada ya siku saba za kazi umejifukuza kazi mwenyewe. It was a lesson for him and any other new employees who have no time of reading regulations and rules once they report for duty!bye Nassari, Ubunge umeota mbawa or rather umeuvisha mbawa![emoji38]
 
Back
Top Bottom