Kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huo ndio ukweli kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama,

Huwezi kuwa juu bila kutoka chini, uoga wa kuogopa kujitegemea siyo jibu la matatizo yako,

IMG_20190329_181602_759.JPG


CC Zero IQ
 
Ndoto au njaa kali hapo,

Nilitegemea bandiko lieleze kijana mwenye ndoto lazima awe na plan

Plana ambayo amei-dissect mwanzo hadi mwisho na kaweka deadlines ya mambo yake ili kum-pressurize ahitimishe jukumu lake mapema
Mkuu Mm nilivyomuelewa
Katika kuonyesha hio picha nmeona neno moja kupitia hio picha.
"UTHUBUTU" ili kijana aweze kufanya yote afanyayo lazima kwanza kabisa awe na uthubutu.
Ila ndo katuwekea picha tujitambue wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom