Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 241
Salamu Wapenzi wa Vitabu!!
Hapa twaweza jadiliana kuhusu vitabu ambavyo tumeshavisoma, na tunavisoma kwa sasa na kisha kuvipa maksi (alama) (kati ya 5).
Hii ni kutufanya tupende kujisomea.
Nitaanza mimi.
Sasa nasoma: Genesis: Beginning and Blessing by R. Kent Hughes (Kitabu cha Kidini, kinazungumzia Kitabu cha MWANZO cha BIBLIA).
Nimesoma karibuni: The 21 Irrefutable Laws of Leadership Book by John C. Maxwell - 4/5 (Kinahusu Kanuni za Uongozi)