waungwana nauliza tu.katika sherehe nyingi mambo ya nyam nyam,
maakuli
ulaji
misosi
hua inawekwa mwisho,hivi ni kanuni,sheria,au utaratibu tu,na kwa nini ufanane,kwa nini chakula kisiwekwe mwanzo...
Habari wana JF
Kaitika kuishi kwangu kote na pita pita zangu zote sijawahi kuona nguvu za kike zikiwa ni jambo la kujadiliwa au tatizo ambalo linatafutiwa ufumbuzi.
Kimsingi wapo wanawake ambao...
Imani za kishirikina mbaya Sana Kuna watu sitaki kuwataja kwa sababu hata siwajui lakini wamethubutu kutoka kimapenzi na mama zao wazazi ili Wapate he'll shame on you na huo utajiri wenu lakini...
Ikumbukwe kuna siku Rais alitamani malaika washuke wafunge mitandao,naam naweza kusema ifikapo may 1 asilimia 95 ya watanzania watakuwa hawana simu za mkononi tena ,watumiaji wa internet...
Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi.
Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani.
Wazazi...
Nikiangalia maisha ya Mbasha ya sasa hivi na kipindi yupo na flora naona ni tofauti kabisa, kipindi Mbasha yupo na flora alikuwa ni mtu mstaharabu na mpole sana, yani alikuwa ana ni mtu mwenye...
Watu zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu, katika mkoa wa Kivu kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. BREAKING: Boti...
Habari ndugu zangu kutokana na ajenda inayotuchanganya na inayoashiria umasikini ni hii inshu ya kusajili laini kwa njia ya kisasa hasa kwa finger print na kua na kitambulisho cha utaifa wa...
Ni wazo tuu, kwa upande wangu ninafikiri kwa Kodi wananchi wanayolipa, serikali ingegawa copy ya katiba kwa Kila kaya, hi ingesaidia wananchi Kama s wote kujua Haki zao za msingi...nafikiria kwa...
Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?
Hii...
Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post...
Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe mfupi na moja ya kampuni za simu (vodacom) ikiniambia "line yangu ina usajili wa awali hivyo nimezuiwa huduma mpaka niende vodashop na kitambulisho.
Nachojiuliza...
Rais Dk. John Magufuli, leo wakati wa kuwaapisha mawaziri wapya waliobadilishana wizara, Palamagamba Kabudi na Augustine Mahiga, amegusia masuala mbalimbali katika jeshi la polisi. Amemtaja...
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ukiukaji wa kanuni za mipangomiji (zoning regulations) bila kudhibitiwa na mamlaka husika.
1. Kuna gereji katikati ya makazi ya watu kwa mfano sehemu tazara...
Maana kwa sasa hazipiti wiki 2 bila kusikia marathoni mara arusha,moshi tanga dodoma mbeya mwanza dsm ndo usichokee
Ni fashion ama kuna watu wananufaika kutokana na hili swala?
Rejea kwenye mada hapo juu, kwa ufupi ni kwamba kwa hatua tuliyofikia ndani ya Nchi hii ya kidhalimu siku nikiona kuna uhalifu unataka kufanyika katika maeneo yoyote ya Kiserikali basi...
Habari wanajamvi nahitaji kupatiwa msaada ni nini hasa nifanye kisheria kudhibiti utiririkaji wa maji taka katika eneo la makazi yangu. maji hayo yanatoka katika kambi za jeshi.
Sent using Jamii...
Easter Special
For only $500 USD - We arrest you in front of your wife at 6pm on Friday 19th April & release you on Monday 22 April. Package includes; hotel ,food,champagne and dinner for 2...
Ni nnje kidogo ya jiji la Dsm, huku wenzetu wa Tanesco huduma zao hazijatufikia so moja ya adha tuipatayo ni foleni ya kuchaji simu kwa mwenyekiti ambaye ana Solar system ya kutosha!!
Shime...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.