Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi JF imefungiwa nilikuwa napitia sana ukimbizini kenyatalks jukwaa la jamiiforums. Kule nilikutana na wadau wanaongelea jamiiforums ya bure bila kuwa na bundle. Ebu kwa anayefahamu inakuwaje...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru)mkoani Kilimanjaro,inawashikilia Maofisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) wakituhumiwa kushirikiana na matapeli wanaowaumiza wananchi...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari! ....Nakumbuka siku Rais Obama anakuja Tanzania mitaa yetu ya Dar ilikuwa inatoa harufu nzuri ya marashi ya dawa ya kuua mbu! Hii ilifanyika ili mgeni wetu asiugue malaria. Barabara zetu...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa sehemu muda si mrefu, Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini.. Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa! Mnaoabudu pale huu utaratibu...
13 Reactions
266 Replies
37K Views
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa Serikali ya awamu ya 5 imeboresha kwa kiasi kikubwa maslahi ya wafanyakazi...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
You know what does Forest stands for?? The abbreviation of Forest is F - Food Tunapata matunda, wanyama, asali, uyoga, mboga na madawa ya porini kutokana na Misitu. O - Oxygen Hewa safi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau habari zenu banah Juzi kati nilikwenda kwa mzee mmoja huko kwake nje ya mji kidogo. Wazee wakishastaafu wanapendaga kukaa nje kidogo. Basi bwana, nilikuta dogo mmoja mjukuu wake ni mgonjwa...
5 Reactions
86 Replies
9K Views
  • Closed
Habari za muda huu wana JF. Bila kupoteza muda,naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Naomba kufahamishwa juu ya utaratibu mzima wa kutuma maombi ya kazi kwenye mashirika ya umma hasa...
2 Reactions
36 Replies
11K Views
Siku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000. Leo nimeingia kwenye menu yao nijiunge cha 5000 nakuta wamekiondoa...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu habari. Nipo Dodoma natakiwa kufika ofisini kwa mkurugenzi wa elimu TAMISEMI. mimi ni mgeni jijini hapa hivyo naomba kwa mwenye kujua anipe maelekezo ya zilipo ofis husika.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnamo tarehe 11 Aprili 2019 nilifanya mahojiano na Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor, kufuatiwa kuchaguliwa kwangu kuwa Raisi wa TLS. Sehemu kubwa ya mahojiano hayo imechapishwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana jamvi nawasalimu, poleni na majukumu niende moja kwa moja kwenye Mada Sua University imekua ikiaminika sana katika uzalishaji wa cross breeding, tumeona wakipata mafanikio sana, ila...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Wakuu zipo kazi ambazo zinategemea sisi tufe ndo wao wapate faida 1.wauza majeneza 2.wasafirisha misiba 3.wauza sanda Kama Kuna Nyingine nimesahau nikumbusheni ila hizo ndio ambazo najua hesabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii sasa inachefua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ingetokea mimi ndiyo ningekuwa Mungu basi haya nisingeyafanya kabisa. 1. Ningemuua shetani haraka iwezekanavyo ili kuwalinda wanangu na majaribu ya shetani. 2. Nisinge mtoa mwanangu kafara...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla... Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye...
67 Reactions
309 Replies
31K Views
Tarehe 16 Aprili, 2019 nilipokea ujumbe kutoka namba+255684548435 inayosemkea kama ifuatavyo:- Nirushie kwenye namba hii ya tigo 0657378240 jina lydia Mrema. Hawa ni matapeli wanatakiwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kushauri graduate wote ambao hawapo kwenye ajira rasmi za Serikali na mashirika binafsi kuwa mwakani 2020 kuna fursa kubwa ya ajira katika nafasi mbali mbali za kisiasa kama udiwani,ubunge...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mawazo na mipango yako yote yamaana na ile ya kipuuzi ichangiwa na eneo ulilopo wakati unawaza; Lipo eneo ambalo ukifika eneo hilo kila siku lazima uwaze kuny*@ au kukojoa! lipo eneo ambalo...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali imesema kwa sasa hakuna haja ya kubadilisha muda wakuhitimu elimu ya msingi kwa sababu imebaini muda wa miaka saba unaotumika si kitu kibaya. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom