Tatizo la ajira kwa vijana waliohitimu chuo nani alaumiwe??

Oct 26, 2015
55
18
WanaJF nimeleta huu Uzi tujadili kuhusu tatizo la ajira. Sote tunajua kuna vijana wengi mtaani wanalia ajira , pia tunajua jinsi gani mashule mengi hayana walimu.

Pia mahospitali wataalam hawatoshelezi . Je, Serikali yetu imeshindwa kuajiri ? Au haina imani na wahitimu?

Hebu tujadili kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la ajira ni global,kinachofanyika ni kupunguza idadi ya wasio na ajira,kwa kuwapa elimu ya kujitegemea,

technology duniani imekua ni mwendo wa maroboti tu,kama unategemea kuajiriwa unakibarua
Niambie kwenye mtaala wa elimu Tanzania ni sehemu gani kuna somo linalohusu kujitegemea ..
 
WanaJF nimeleta huu Uzi tujadili kuhusu tatizo la ajira. Sote tunajua kuna vijana wengi mtaani wanalia ajira , pia tunajua jinsi gani mashule mengi hayana walimu.

Pia mahospitali wataalam hawatoshelezi . Je, Serikali yetu imeshindwa kuajiri ? Au haina imani na wahitimu?

Hebu tujadili kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hospitali na mashule tu...
Kila sekta hapa nchini ina upungufu wa wataalamu, pamoja na kukosa vipaumbele pia tukumbuke nchi yetu ni maskini, tutaajiri hao watu tutawalipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sehemu ipi kwenye mtaala inasema utaajiriwa ukimaliza masomo?
Yani nakuuliza swali na wewe unaniuliza swali
Najua swali langu huwezi lijibu hivyo .nimehairisha sitaki majibu yako

Iko hivi katika uhalisia Tanzania bado kuna shida katika sector mbalimbali kama elimu,afya,ambazo ndio sector muhimu kwa ukuaji wa taifa ..mfano vijijini hakuna waalimu wa masomo ya sayansi hasa physics na Mathematics huku mtaani walimu wakiwa wamejaa wengi .je serikari inafikiria nini kuhusu hilo .pia tu naona wataalam wa afya wakihitimu Kila siku ..lakini ulienda sehemu mbalimbali kina upungufu wa watalam wa afya ..na ndio maana serikali lazima iwa ajiri mpaka pale uhaba wao utakapoisha ..ndio mrudi na hoja zenu za kujiajiri hapa
 
Research yako iko proved na mamlaka ipi?,inayotambulika kisheria?
 
Suala la ajira ni global,kinachofanyika ni kupunguza idadi ya wasio na ajira,kwa kuwapa elimu ya kujitegemea,

technology duniani imekua ni mwendo wa maroboti tu,kama unategemea kuajiriwa unakibarua
Sasa ukisema mtu mtu apewe elimu ya kujitegemea wakat syllabus ya mfumo huu wa kujitegea hatuna , . sasa ukisema ivo je upungufu wa wawalimu , madaktar na wahandisi itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali itajitetea ukosefu wa ajira ni tatizo la ulimwengu mzima wakati huo huo kuna upungufu wa watumishi mashuleni,hospitalini na ofisi za ngazi za kati na chini.

Kikwete alikua mtu mzuri sana.
 
Nimetembelea kenya rwanda.. nigeria. Vijana wa hizo nchi tatizo la ajira ni kubwa kuliko la kwetu. Ila kuna kitu kinaitwa technolgy startup..hivi ni vikund vya wahitimu wa masomo ya sayansi ambao wanafanya vumbuz mbali mbali.. baadae wanaomba funds kutoka mashirika flani na wanakubalika.
Na wengi wametokea hapa... wameanza startups baadae zikawa kampuni.wakaajiri wenzao.
Niseme mambo kama haya yanahitaj subira.. faida utaiona mwanzon ila baadaee pesa itaanza kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom