Usirogwe ukawaamini Mamlaka ya Hali ya Hewa. Utajuta

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,771
Reaction score
32,394
Hawa jamaa utabiri wao ni kama bahati na sibu. Ni kama wanacheck wingu maeneo flani flani halafu wanapeana taarifa wanatangaza.

Walisema huku kwetu kutakuwa na jua kali na upepo utavuma toka mashariki kwenda magharibu.uongo. waongo wakubwa.hakukuwa na jua leo siku nzima.mi asubuh nikaacha nmefua nguo zangu za jeans nikijua zitakauka.

Nmerudi ndo kwanza nmekuta zimetota sababu zilinyeshewa.na kesho ijumaa nlitaka ofisini nivae casual maana tunaruhusiwa.

Nmemind sana jambo hili...natafuta namba zao niwachane.kwa nini wanatabiri kwa macho?walisema kungekuwa na mvua nyingi sana.hamna kitu.ina maana mnamdanganya nata mh rais?

Siku zote utasikia tu....sehemu za mashariki magharibi,kusini kaskazini...kutakuwa na mvua za hapa na pale na ngurumo.pepo za pwani zitavuna kutoka kusini kuelekea kaskazini... Jua litakuwepo na sehemu nyingine wingu. Na mvua za kimachale machale."

Yaani hawa jamaa hamna kitu kabisa.wanatangaza very general.hamna jipya...na ole wenu rais ajue huwa mna mdanganya wallah kutawaka moto.maana hajashtuka bado.
 
Wenzetu wao wanadanganywa kua mvua zao zime kaa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hazitaki kwenda kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20190411-WA0028.jpg
    IMG-20190411-WA0028.jpg
    103.9 KB · Views: 78
Kumbe unatambua kazi yao ni kutabiri, halafu unalalamika nini sasa?
 
Umenikumbusha kipind kdgo kuna mzee alikuwa anakuja kuchek taarifa ya habari hom yaan atasinzia habari zote ikifika utabir anakuwa makini kusikiliza na hata ukinong'ona ikifika utabir anaweza akakuletea noma wiki mbili au tatu.. Ila alikua anasifika kwa uchawi hvyo tuliamin anachek ili mida mibovu aruke asikutane na mchafuko wa anga akapga nyama chini.. Dahh!! Alikua ni kero yaan hata akienda sehemu akirud utabir lazima atauchek na akikuta umeisha yuko radh asubir marudio ya habar saa tano kpnd hicho ITV ili aone utabir wa Hali ya hewa
 
Ndio maana haswa ya neno utabiri...

Lakini kwa wenzetu weupe wao walau bashiri zao huwa kwa asilimia nyingi huwa sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha kipind kdgo kuna mzee alikuwa anakuja kuchek taarifa ya habari hom yaan atasinzia habari zote ikifika utabir anakuwa makini kusikiliza na hata ukinong'ona ikifika utabir anaweza akakuletea noma wiki mbili au tatu.. Ila alikua anasifika kwa uchawi hvyo tuliamin anachek ili mida mibovu aruke asikutane na mchafuko wa anga akapga nyama chini.. Dahh!! Alikua ni kero yaan hata akienda sehemu akirud utabir lazima atauchek na akikuta umeisha yuko radh asubir marudio ya habar saa tano kpnd hicho ITV ili aone utabir wa Hali ya hewa
Vilingeni kwao hawana kitengo cha utabiri[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga wa kienyeji wakitabiri wanakamatwa sasa taasisi ya serikali inatabiri uongo inaachwa, wanakula kodi zetu bure tu
 
Naomba nikupe shule kidogo kwenye hili la utabiri!

Unapofanya utabiri unatumia vifaa maalum vyenye uwezo wa ku-detect hali ya anga kwa muda na wakati uutakao.

Utabiri huu unapatikana kwa teknolojia za aina mbali mbali,ambazo gharama zake pia zinatofautiana!(kuna GCM na RCM)

Kutokana na umasikini wa nchi zetu,kushindwa kuhimili gharama za vifaa vingi na kuviweka maeneo mengi,(RCM) tunatumia zaidi GCM ambayo inakusanya taarifa kwa coverage kuuubwa sana,hivyo kupunguza "accuracy" ya utabiri!

Kwa mfano,kituo cha utabiri kilichopo Ilonga,Kilosa mkoani Morogoro,kikitegewa na wilaya 2 au 3,kitatoa taarifa ya jumla sana,kwa sababu hawatakuwa na uwezo wa ku-specify exactly ni eneo lipi mvua zitanyesha,matokeo yake taarifa inakuwa "......mvua baadhi ya maeneo,mawingu kiasi,ngurumo na vipindi vya jua….."

Lakini kama tungekuwa na uwezo na kuamua kununua vifaa na kuwa na vituo vingi vya ukusanyaji taarifa,basi tungeweza kupata taarifa sahihi kabisa za utabiri kwa maeneo husika pasipo kuwa na hata chembe ya mashaka!

Gharama za uendeshaji wa tecknolojia ya utabiri wa hali ya hewa ni kubwa sana,ndiyo maana nchi nyingi za kiafrika hazina "accuracy" kwenye ubashiri wa hali ya hewa!

Inagharimu kiasi cha dola za kimarekani si chini ya 5000 kwa kituo kimoja kwa siku,sasa kama tukitaka kupata utabiri sahihi itabidi tuwe kituo kwa kila kata,tuna kata ngapi Tanzania? Kwa gharama ya dola 5000 kwa kila kata kwa siku,tutatumia dola ngapi kwa ajili ya utabiri wa hali ya hewa?

Tuendelee kuvumilia tu,kwa sababu hali zetu ndiyo hizi hizi!¡

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi kila siku hapa TMA huwa inafanyika representation mida ya saa Saba na nusu mchana kwa ajili ya forecasting ya kesho.lakini Kuna kitengo pia kwa ajili ya severe forecasting ya siku kumi mbele.wanatumia models kufanya hii kitu kwa mfano picha za satellite zinazoenyesha coverage na amount ya mawingu,Kuna ile ya atmospheric pressure taarifa za data hutumwa kila baada ya muda mfupi..asilimia 80 ya utabiri unatokea so labda we hujawaelewa vizuri tu
 
Hawa jamaa utabiri wao ni kama bahati na sibu. Ni kama wanacheck wingu maeneo flani flani halafu wanapeana taarifa wanatangaza.

Walisema huku kwetu kutakuwa na jua kali na upepo utavuma toka mashariki kwenda magharibu.uongo. waongo wakubwa.hakukuwa na jua leo siku nzima.mi asubuh nikaacha nmefua nguo zangu za jeans nikijua zitakauka.

Nmerudi ndo kwanza nmekuta zimetota sababu zilinyeshewa.na kesho ijumaa nlitaka ofisini nivae casual maana tunaruhusiwa.

Nmemind sana jambo hili...natafuta namba zao niwachane.kwa nini wanatabiri kwa macho?walisema kungekuwa na mvua nyingi sana.hamna kitu.ina maana mnamdanganya nata mh rais?

Siku zote utasikia tu....sehemu za mashariki magharibi,kusini kaskazini...kutakuwa na mvua za hapa na pale na ngurumo.pepo za pwani zitavuna kutoka kusini kuelekea kaskazini... Jua litakuwepo na sehemu nyingine wingu. Na mvua za kimachale machale."

Yaani hawa jamaa hamna kitu kabisa.wanatangaza very general.hamna jipya...na ole wenu rais ajue huwa mna mdanganya wallah kutawaka moto.maana hajashtuka bado.
Mimi huwa ninatumia hii ya kwangu ambayo kamwe hainiangushi.
 
Attachments

  • Screenshot_20190412-073348.png
    Screenshot_20190412-073348.png
    63.9 KB · Views: 25
Binafsi nawaamini na hii ni kwa sababu naelewa japo kwa kiasi mfumo mzima unavyofanya kazi
Mf. Picha za Setelite zinaweza kuonesha mawingu/mvua itanyesha ila upepo unaoweza kusababishwa na effect ya pressure ya eneo husika au la jirani ilete upepo uhamishe hayo mawingu...mvua iende upande mwingine
Lakini pia nahisi tunahitaji sertelite nyingi ili coverage iwe more accurate
Nakumbuka walituambia msimu huu, mvua za masika sio nzuri (fupi sana)
Mikoa mingi ukiondoa ya kusini...kitu tunacho kiona kwa sasa
 
Shule kawape wazazi wako mbweha wewe.

Naomba nikupe shule kidogo kwenye hili la utabiri!

Unapofanya utabiri unatumia vifaa maalum vyenye uwezo wa ku-detect hali ya anga kwa muda na wakati uutakao.

Utabiri huu unapatikana kwa teknolojia za aina mbali mbali,ambazo gharama zake pia zinatofautiana!(kuna GCM na RCM)

Kutokana na umasikini wa nchi zetu,kushindwa kuhimili gharama za vifaa vingi na kuviweka maeneo mengi,(RCM) tunatumia zaidi GCM ambayo inakusanya taarifa kwa coverage kuuubwa sana,hivyo kupunguza "accuracy" ya utabiri!

Kwa mfano,kituo cha utabiri kilichopo Ilonga,Kilosa mkoani Morogoro,kikitegewa na wilaya 2 au 3,kitatoa taarifa ya jumla sana,kwa sababu hawatakuwa na uwezo wa ku-specify exactly ni eneo lipi mvua zitanyesha,matokeo yake taarifa inakuwa "......mvua baadhi ya maeneo,mawingu kiasi,ngurumo na vipindi vya jua….."

Lakini kama tungekuwa na uwezo na kuamua kununua vifaa na kuwa na vituo vingi vya ukusanyaji taarifa,basi tungeweza kupata taarifa sahihi kabisa za utabiri kwa maeneo husika pasipo kuwa na hata chembe ya mashaka!

Gharama za uendeshaji wa tecknolojia ya utabiri wa hali ya hewa ni kubwa sana,ndiyo maana nchi nyingi za kiafrika hazina "accuracy" kwenye ubashiri wa hali ya hewa!

Inagharimu kiasi cha dola za kimarekani si chini ya 5000 kwa kituo kimoja kwa siku,sasa kama tukitaka kupata utabiri sahihi itabidi tuwe kituo kwa kila kata,tuna kata ngapi Tanzania? Kwa gharama ya dola 5000 kwa kila kata kwa siku,tutatumia dola ngapi kwa ajili ya utabiri wa hali ya hewa?

Tuendelee kuvumilia tu,kwa sababu hali zetu ndiyo hizi hizi!¡

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajawalewa shangazi yako.

Back
Top Bottom