Hivi ukilipia kitambulisho cha mjasiliamali mdogo kwa biashara unayoifanya utatakiwa upate vitambulisho vingapi ikiwa utafanya biashara zaidi ya moja? Mfano una saloon na una kibanda cha chips.
1. Biashara zikiwa sehemu moja???
2. Biashara zikiwa sehemu Tofauti???
Ila zote zinamilikiwa na mtu mmoja.
1. Biashara zikiwa sehemu moja???
2. Biashara zikiwa sehemu Tofauti???
Ila zote zinamilikiwa na mtu mmoja.