Ufalme wa Mungu hupatikana kwa njia njembamba inamaanisha Nini kwa ufaham wako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,722
Hayo maneno yamesemwa na kuandikwa na manabii fulani walimu.hivi kwako wewe binafsi njia njembamba unayoona wewe inamaanisha nini?ili tupate kumjua na kumfikia MUNGU tunapaswa kupitaje Salama kwenye hio njia njembamba?
 
Inabidi ujikane mambo mengi ambayo mwili ungependa kuyafanya; pombe, uzinzi, tamaa, udunia=mipira, mizaha, maigizo, Dhambi kwa ujumla wake. Njia nyembamba ili kupendeza Mungu ni kuishi kwa tahadhari kubwa usimtende Mungu dhambi. Ukiokoka kwako sheria za Mungu huwa nyepesi. Njia PANA hubeba wote. Ukiona wengi wako upande fulani mara nyingi jua hapo uko njia PANA iendayo upotevuni. OKOKA LEO .
 
NJIA PANA= Mipira, Bongo Fleva/ Movie, Uzinzi, Pombe, Matuzi, Mavazi ya kikahaba etc.. huko wamejaaa dunia nzima; tafakari tu kwa akili zako
NYEMBAMBA= Kanisani, Waombaji, kusoma neno, mahubiri, kusali etc...huko ni wachache sana/ njia ni nyembamba
 
Back
Top Bottom