Bara la Afrika kugawanyika sehemu mbili

Bara la Afrika kugawanyika sehemu mbili

Erickford4

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,099
Wanasayansi wanadai kuwa bara la Afrika lipo mbioni kugawanyika na kuwa mabara mawili. Eneo la Somalia kuelekea eneo lote la Afrika mashariki hadi nusu ya eneo la Afrika kusini yanatarajiwa kujigawa na kutengeneza bara lake linalojitegemea. Tazama video ifuatayo kwa maelezo zaidi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo azimio la kujigawa limemshirikisha MUUMBAJI pia au ndo wanasayansi wetu
 
!
!
Ninavyowakubali Watakwambia Baada Ya Miaka Milioni Tatu Mia Tano Hivi. Wakati Kwa Kipindi Hicho Hata Fuvu La Jiwe Halitakuwepo
 
Back
Top Bottom