Huyu ndiye Nsato Marijani Aliyelala kwenye gunia jeshini na Magufuli

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
cpo.JPG

Rais Dk. John Magufuli, leo wakati wa kuwaapisha mawaziri wapya waliobadilishana wizara, Palamagamba Kabudi na Augustine Mahiga, amegusia masuala mbalimbali katika jeshi la polisi. Amemtaja Kamanda Nsato Marijani kwamba walikuwa wote JKT Makutupora, Dodoma na walilala pamoja kwenye gunia.

Nsato Marijani alikuwa Kamanda wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CPO&T) ambapo juzi katika mabadiliko yaliyofanywa na IGP Simon Sirro, amerudishwa Wizara ya Mambo ya Ndani, Idara ya Wakimbizi na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Liberatus Sabas. Kwa kilichozungumzwa na rais leo, ni kwamba ameshindwa kuperform ndiyo maana ameamua kumpeleka kwenye idara nyingine.

Rais Magufuli amesisitiza kwamba kama angekuwa anateua watu kwa upendeleo, angeweza hata kumteua Nsato kuwa IGP kwa sababu walisota wote JKT lakini kwa kuwa ameshindwa ku-deliver, hawezi kumtazama usoni, anampeleka kwa wakimbizi huku akiendelea kumtazama.
 
View attachment 1037647

hapa namtetea JPM pamoja na kusota pamoja na marijani ila hajampotezea pamoja na mapungufu yake! kuwa kamishna sio kitu kidogo! na pia binadam tunapishana uwezo hivyo sio lazma mtu akishindwa hapa ndo atashindwa kule

sasa JPM anaanza kielewa misingi ya kuishi kuvumialiana na kuaminiana hata kama kuna mapungufu binadamu hatufanani
 
Umeongea vizuri
 
mtoa mada nilidhani utamuongelea huyo jamaa tumfahamu vizuri walilaje kwenye magunia utendaji wake ukoje kabla ya uteuzi wa nafasi hiyo na baada ya uteuzi, labda ubadilishe kichwa cha uzi au ulikuwa na haraka gani
 
View attachment 1037647
Rais Dk. John Magufuli, leo wakati wa kuwaapisha mawaziri wapya waliobadilishana wizara, Palamagamba Kabudi na Augustine Mahiga, amegusia masuala mbalimbali katika jeshi la polisi. Amemtaja Kamanda Nsato Marijani kwamba walikuwa wote JKT Makutupora, Dodoma na walilala pamoja kwenye gunia.

Nsato Marijani alikuwa Kamanda wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CPO&T) ambapo juzi katika mabadiliko yaliyofanywa na IGP Simon Sirro, amerudishwa Wizara ya Mambo ya Ndani, Idara ya Wakimbizi na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Liberatus Sabas. Kwa kilichozungumzwa na rais leo, ni kwamba ameshindwa kuperform ndiyo maana ameamua kumpeleka kwenye idara nyingine.

Rais Magufuli amesisitiza kwamba kama angekuwa anateua watu kwa upendeleo, angeweza hata kumteua Nsato kuwa IGP kwa sababu walisota wote JKT lakini kwa kuwa ameshindwa ku-deliver, hawezi kumtazama usoni, anampeleka kwa wakimbizi huku akiendelea kumtazama.
Nsato alisoma Songea Boys' kidato cha tano na sita miaka ya 81,alikuwa bondia na mjivuni na mbishi,ila ameanzia mbali upolisi kwa vyeo kama koplo,sajenti kabla hajaenda chuo
 
Inaonekana unamjua vizuri mkuu, asante kwa mchango
 
mtoa mada nilidhani utamuongelea huyo jamaa tumfahamu vizuri walilaje kwenye magunia utendaji wake ukoje kabla ya uteuzi wa nafasi hiyo na baada ya uteuzi, labda ubadilishe kichwa cha uzi au ulikuwa na haraka gani
Mkuu mimi si mjuaji sana lakini naamini wapo watu wanaomjua vizuri zaidi, kupitia wao tutajifunza zaidi.
 
Back
Top Bottom