Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pole na majukumu yako ya Kila siku kuhakikisha wananchi na Mali zao wanakuwa salama saa 24 kwa wiki. Nimepita eneo la Tandika na Yombo nimesikia wananchi wakilalamika kuwa kina mauaji ambayo...
13 Reactions
63 Replies
12K Views
Kesi ya kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa Tanzania kwa kikoa cha CO.TZ (Tanzania Domain) inayomkabili mkurugenzi wa jamii Media, #maxence melo na mwenzake Mike Mushi imeshindwa kuendelea...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa shahidi wa Kwanza kwenye kesi ya viongozi wa Chadema Ni kwamba polisi walitumia risasi za moto kutokana na Askari waliokuwa wakitumia mabomu ya machoz kushindwa kutumia mabomu hayo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiachilia mbali malipo yanayolipwa kama tozo ya kuvuka; Kama ilivyokuwa zamani GARI MOSHI lilivyotumia kuni na mkaa Tukaachana nalo; Inashindikanaje Pia kuachana na hivi vivuko vya kizamani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa siku moja ametupwa chooni katika choo cha wasichana katika shule ya sekondari Kazima iliyopo manispaa ya Tabora na kusababisha taharuki kwa walimu na wanafunzi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ikumbukwe kuna siku Rais alitamani malaika washuke wafunge mitandao,naam naweza kusema ifikapo may 1 asilimia 95 ya watanzania watakuwa hawana simu za mkononi tena ,watumiaji wa internet...
1 Reactions
3 Replies
936 Views
Najua wapo watakao pinga ila haiwezekani we mwanaume unazeeka na mke wako anazeeka hii hapana. Lazima upate mke mpya atakayeweza na kumudu kazi za kiunyumba n.k. Unajua wanawake wakifika 50+...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukurasa wa 288 CAG amenikosha na kunisuuza moyo wangu. WE LOVE YOU CAG Katika udondozi wake anasema kwamba kuna mkurugenzi wa Halmashauri alijilipa milioni 17 kusafiri nje ya nchi bila kibali cha...
21 Reactions
55 Replies
9K Views
Waungwana tuache masihara, Dar ina maeneo mengi machafu sana. Mifereji, gereji bubu na vitu vingine vinavyofanana na hivi vinazalisha harufu nzito. Hiki kitongoji kinanuka sana.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu baada ya Jana kuweka kitasa kipya Leo, kimegoma kufunguka na funguo imenasia ndan, Mwenye ujuzi , idea au uzoefu Naomben msaada Massa 2 sasa Niko nje
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Kitengo cha kutoa liseni cha Manisipaa ya Temeke jitafakari maana naona hamuendani na kasi ya JPM. Ikiwa nimelipa kodi ya mapato na kupata tax clearance toka TRA, nikaja kwenu na kulipa ada ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inakuwaje au ilianzaanza vipi dunia nzima ikakubaliana kula mara tatu kwa siku. breakfast lunch dinner wajuvi wa historia ilianzaanza vipi hii kitu. au ilianzia oldvai gorge kwa zinjantropa.
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu habari? Mimi mwenzenu nikiri wazi kuwa nilisoma chuo kikuu cha Taifa cozi ikiwa ni Computer Science lakini nilitoka half cooked sikuwa nimeiva kabisa na hii ikanipa wakati mgumu sana kwenye...
13 Reactions
42 Replies
5K Views
Ukeketaji limekuwa janga kubwa katika jamii. Na kila ifikapo February 6, nchi ya Tanzania huungana na mataifa karibu yote ulmwenguni kuadhimisha siku ya kupinga ukeketaji. Historia ya ukeketaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nimefuatilia suala la uber na app nyinginezo zinazotoa huduma zinazofanana na hii. Ukitizama dhana ya uundaji wa mtandao wa Uber kuachilia mbali kama fursa ya biashara ililenga kupunguza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya ni baadhi tu ya matangazo ya Tigo niliyotumiwa ndani ya masaa 24 yaliyopita. Nilishaomba TCRA watuondolee hii shida. Matangazo haya hayana tija yoyote kwa watumiaji wa mtandao huu, na nina...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumekua na mambo mengi mtaani juu ya watu kudai wanatokewa na marehemu aidha kwa nia njema au mbaya Wengine unakuta ni rafiki ndugu au jamaa ambao mlipendana sana hivyo hata akifa anakua...
3 Reactions
54 Replies
11K Views
Wakuu habari. Katika wilaya ya Kilolo kuna habari zimetolewa kwamba ni marufuku kula kitimoto. Mimi kama mfugaji mdogo wa Nguruwe hili katazo limeniathiri sana(wakuu sanaa). Naomba kujua kama...
2 Reactions
91 Replies
10K Views
Salaam wakuu. Kama jinsi kichwa cha mada kilivyo Naomba kusaidiwa jinsi ambavyo naweza kupata visa ya us au Canada endapo nna mwenyeji Wangu tayari. Nantanguliza shukrani.
0 Reactions
36 Replies
17K Views
Watu wengi wanapowasiliana mawazo yao ama fikra zao huwapeleka kwenye kujibu kabla ya kuelewa kwanza na ndipo hujitokeza ile dhana uanongea na mtu unahisi anakuelewa halafu baada ya muda ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom