Kwa utawala huu sitakaa nije nimfichue mhalifu

Karot

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
1,159
Reaction score
1,316
Rejea kwenye mada hapo juu, kwa ufupi ni kwamba kwa hatua tuliyofikia ndani ya Nchi hii ya kidhalimu siku nikiona kuna uhalifu unataka kufanyika katika maeneo yoyote ya Kiserikali basi nitafurahia.

Nasema hivi kutoka moyoni siipendi serikali iliyopo madarakani na ccm yake.
Serikali ambayo imesababisha watu waishi kama mashetani, ndugu zetu wa kike hawaolewi na wengine kuachwa kabisa kisa maisha magumu ambayo yamesababishwa na awamu hii.

Mishahara hawaongezi, kila siku wanaangalia watumishi hewa kumbe ujinga mtupu. Hivi awamu ya nne watumishi hewa hawakuwepo? Mbona watu walikuwa kila mwaka wanaongezewa mishahara na maisha yalikua afadhali?

Najua kuna watu watasema nimeamka vibaya lakini hapana nipo vizuri tu na najielewa na pia sijavurugwa. Kwa leo niishie hapo.
 
Na wa Tanzania walivyo na akili za kuku wepesi kusahau haya... Kesho na keshokutwa wataongezewa elfu 50 watasahau kwamba wanafanywa wajinga. Kwakweli bado elimu haijawasaidia kwa wale wote wanaojiita wasomi.
Elimu bado haijatusaidia
Bado Sana safari ni ndefu mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kila uchaguzi hapa Tz, hakuna tabaka linalogeuzwa hamnazo kama wafanyakazi wa Serikalini.

Amini usiamini, watapandishiwa 30,000/= na track suits za bendera ya Taifa wanasahau msoto waliopitia kwa miaka yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wote umebeba hasira zako za maisha za dada zako kuachwa na kutokuolewa
 
Jana nilikuwa naangalia makala ya masuala ya demokrasia Afrika.Aisee mambo yapo hadharani sana.Wanasema viongozi wengi Afrika wanasema wameshinda Kwa asilimia kubwa ktk chaguzi LAKINI ukienda Kwa WANANCHI hawakubaliki 100%,ndo wanajiuliza wanashinda vipi?

Me nikikuta watu wanapanga kuua wakina fulani nitafurahi zaidi.

Mungu nyoosha mkono wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wote umebeba hasira zako za maisha za dada zako kuachwa na kutokuolewa
Rejea mstari wa mwisho kwenye thread yangu, nakujibu...
Sina dada wala ndugu alieachwa kwa ajili ya maisha, sina dada wala ndugu ambae hajaolewa kisa maisha.
Na mimi sijaacha wala sijawahi kuwaza kuacha kisa maisha. Nina mke na watoto wawili na maisha yangu bado hayaniyumbishi kisa maisha.
 
Ok mkubwa nimekuelewa sory

Kuna wakat huwa nawaza, hawa watumishi wa umma hawajitambui au n hofu ya kupoteza kazi!!
Lakin najiuliza tena, kama hawajitambui kuna haja gani ya kuendelea kupeleka watoto shule....na kama n hofu ya kupoteza kazi, kwanin wasinyamaze tu ili waendelee kuteseka huku wakilinda ulaji wao!!??

Kwa nchi hii nimegundua yapo makundi ambayo hupaswi kabisa kuyaamin ktk kufany maamuz
1. Watumishi wa umma
2. Watu wa mikoa ya kati na kusin
3. Watu wa vijijin

Sasa hapo ndo utajua, kwanin watu wanalia ugumu wa, maisha ilihali wanashangilia ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea kwenye mada hapo juu, kwa ufupi ni kwamba kwa hatua tuliyofikia ndani ya Nchi hii ya kidhalimu siku nikiona kuna uhalifu unataka kufanyika katika maeneo yoyote ya Kiserikali basi nitafurahia.

Nasema hivi kutoka moyoni siipendi serikali iliyopo madarakani na ccm yake.
Serikali ambayo imesababisha watu waishi kama mashetani, ndugu zetu wa kike hawaolewi na wengine kuachwa kabisa kisa maisha magumu ambayo yamesababishwa na awamu hii.

Mishahara hawaongezi, kila siku wanaangalia watumishi hewa kumbe ujinga mtupu. Hivi awamu ya nne watumishi hewa hawakuwepo? Mbona watu walikuwa kila mwaka wanaongezewa mishahara na maisha yalikua afadhali?

Najua kuna watu watasema nimeamka vibaya lakini hapana nipo vizuri tu na najielewa na pia sijavurugwa. Kwa leo niishie hapo.
Hivi unafikiri usipofichua uhalifu unamkomoa nani? Naomba ujaribu kufikiria kwa kina. Nadhani mtu yoyote mwenye akili atasema utakuwa unajikomoa mwenyewe. Ukiona mtu anaiba dawa kwenye hospital za serikali ukakaa kimya ndiyo umeikomoa serikali? Kwa taarifa yako ni kuwa utakuwa unajikomoa mwenyewe kwani zile dawa huwasaidia wewe, ndugu na jamaa zako. Ndugai alipougua uliona alitibiwa Tanzania. Unanikumbusha wakati wa utotoni wengi tulikuwa na mtindo wa ''kumkomoa'' mzazi kwa kukataa kwenda shule...
 
True

Narudia, nikiona mtu kachoma kituo cha polisi nakaa kimya, nikiona mtu kamiliki bunduki kinyume na sheria kwa nia ya kuondoa utawala mbovu namficha. Nikiona nyumba zote zilizonizunguka zinatumia umeme wa bure nakaa kimya. Ntaendelea kukaa kimya hadi utawala huu utakapoondoka.
 
Back
Top Bottom