Mambo yameiva ofa za pasaka

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Easter Special
For only $500 USD - We arrest you in front of your wife at 6pm on Friday 19th April & release you on Monday 22 April. Package includes; hotel ,food,champagne and dinner for 2. Light beating on day of arrest ; $50 extra.

Inbox me.... We come in full police gear, sirens and red & blue lights.
Add an extra $50 and we will drop teargas....
 
Aisee, Kwa usawa huu, awamu ya 5, Hadi sembe limepanda bei, let me stay with my wife. Iam sure, I will spend only $10 USD
 
Easter Special
For only $500 USD - We arrest you in front of your wife at 6pm on Friday 19th April & release you on Monday 22 April. Package includes; hotel ,food,champagne and dinner for 2. Light beating on day of arrest ; $50 extra.

Inbox me.... We come in full police gear, sirens and red & blue lights.
Add an extra $50 and we will drop teargas....

Sijaelewa ina maana mnikamate mimi mbele ya mke wangu nikale raha na nani sasa wakati hiyo package ni ya watu 2??
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanawake wana hisia kali sana, mbona hilo dili wanalishtukia mapema kabisa
 
Easter Special
For only $500 USD - We arrest you in front of your wife at 6pm on Friday 19th April & release you on Monday 22 April. Package includes; hotel ,food,champagne and dinner for 2. Light beating on day of arrest ; $50 extra.

Inbox me.... We come in full police gear, sirens and red & blue lights.
Add an extra $50 and we will drop teargas....
Please
I will add $100 drop a bomb

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sijaelewa ina maana mnikamate mimi mbele ya mke wangu nikale raha na nani sasa wakati hiyo package ni ya watu 2??
Sajuuu jamani wewe ni mzito. Kha!!!! 🤣🤣🤣🤣
Utamweleza mkeo afanye fujo ili na yeye akaswekelewe hotelini
 
Weka kwa kiswahili tusio elewa tuelewe tufaidike wote
OFA YA PASAKA:
Kwa dola 500 tu - Tutakukamata mbele ya mkeo kuanzia saa 12 jioni ya tarehe 19 aprili na kukuachia jumatatu tarehe 22 aprili. Ofa hii inajumuisha malazi ya hotelini, chakula, kinywaji mlipuko na chakula cha usiku kwa watu wawili. Ukitaka tukupe kichapo kidogo, utaongeza dola 50. Wanakuja na vifaa vyote vya kipolisi….Ukiongeza dola 50 ingine, watatupa mabomu ya machozi!
Kupata huduma hio muendee inbobo.
.
 
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom