ze big
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 382
- 351
Habari wanajamvi nahitaji kupatiwa msaada ni nini hasa nifanye kisheria kudhibiti utiririkaji wa maji taka katika eneo la makazi yangu. maji hayo yanatoka katika kambi za jeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app