Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,491
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,491 2,000
Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?

Hii inainyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo kubwa. Pamoja na mahela ya wenye kampuni za sigara lakini wameshindwa kulizuia hili.

Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula. Sikuhizi hata nyumbani kwako pia unashauriwa uvutie sigara nje hasa ukiwa na watoto. Sisi wengine tulikua tunatumwa kuwasha sigara ya bsbu jikoni na ukiileta bsbu snaendelea na hadithi.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,908
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,908 2,000
Basi sawa
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
1,437
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
1,437 2,000
Sigara zote zitapita lakini nyota itabaki juu
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,731
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,731 2,000
Umenikumbusha miaka ileee nilikuwa navuta sigara kwenye ndege Rukhsaa
Na mpaka nilipokuja huku sigara zilikuwa rukhsa kwenye mabus na ilikuwa kawaida
Kwa kweli mambo yamebadilika kama mwanadamu akiamua linawezekana.
Siku hizi mpaka rangirangi za sigara zimepigwa marufuku ni rangi moja zote ili watoto wasishawishikie kwa rangi hizo
Wazungu wana maamuzi kweli yaani kama sisi tu kwa Plastic bags ila wizi pia na rushwa tutaweza tujipange tu baada ya miaka let's say 100

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,456
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,456 2,000

Mkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka gani
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
579
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
579 1,000
topic za sky bana. we mdada tafuta mume sasa stress zitakuua
 
Rooney

Rooney

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Messages
2,429
Points
2,000
Rooney

Rooney

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2015
2,429 2,000
Long ago nchi za watu,nazama uwanjani kuangalia derby flani,raia wanapuliza fegi km wapo amoking room, tho nlkua bado sijaacha ila nlkereka saana,hizi ban safi sana.afya za watu wengi zlkua mashakani

Sent using Brain
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,731
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,731 2,000
Mkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka gani
Ilikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?
Ila walipopiga marufuku tuliteseka sana wavutajiSent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tuna

Tuna

Senior Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
186
Points
250
Tuna

Tuna

Senior Member
Joined Jan 21, 2019
186 250
Sema Bongo wavutaji wa Sigara ni wachache sana,Ukitaka kuamini toka nje ya bongo.Kuna watu wanavuta fegi wewe yaani ni bandika bandua alafu kama hakija tokea kitu.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,456
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,456 2,000
Ilikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?
Ila walipopiga marufuku tuliteseka sana wavutajiSent from my SM-G570F using Tapatalk
Doh hiyo ilikuwa vurugu bin taabu
 
Forum statistics

Threads 1,285,033
Members 494,367
Posts 30,847,817
Top