Au TCRA ndiye yule malaika aliyetabiriwa?

Au TCRA ndiye yule malaika aliyetabiriwa?

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Ikumbukwe kuna siku Rais alitamani malaika washuke wafunge mitandao,naam naweza kusema ifikapo may 1 asilimia 95 ya watanzania watakuwa hawana simu za mkononi tena ,watumiaji wa internet watapungua na wale wanaotegemea social media kufanya business ndiyo basi tena
Ni wangapi wenye vitambulisho vya NIDA?kwani watu wakija mkawachukua finger prints kwa machines kuna tatizo gani?
Anyway hongereni sana mnachapa kazi KWERIKERI NA MSEMAKWELI NI MPENZI WA MUNGU.
 
Hata mm sexless nawaaga rasmi, maana sina kitambulisho cha NIDA. Huyu jiwe huyu Mungu anamuona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom