MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,105
- 40,815
Habari wana JF
Kaitika kuishi kwangu kote na pita pita zangu zote sijawahi kuona nguvu za kike zikiwa ni jambo la kujadiliwa au tatizo ambalo linatafutiwa ufumbuzi.
Kimsingi wapo wanawake ambao hawana au wana upungufu wa nguvu za kike, hivyo basi kuwafanya wasiweze kuwa na wanaume au kuchukia tendo pendwa (ngono).
Kukosa au upungufu wa nguvu za kike unaweza ukawa ni tatizo la kuzaliwa (maumbile) au tatizo la kutengeneza (mfumo na aina ya Maisha wanawake waliyojichagulia).
Hivyo basi, mwenye taarifa Zaidi kuhusu hizi nguvu pendwa za kike asisite kutupia maoni yake.