Wakuu nimefuatilia suala la uber na app nyinginezo zinazotoa huduma zinazofanana na hii. Ukitizama dhana ya uundaji wa mtandao wa Uber kuachilia mbali kama fursa ya biashara ililenga kupunguza idadi ya magari barabarani kwa kuwaweka watu wengi kwenye magar machache. Hii ndio maana hasa ya "ride sharing".
Katika mtizamo huu, initial thoughts hazikua kutoa ajira maana kwa mantiki hii ingekinzana na maono ya kupunguza magar barabarani. Kwa maana hii, price setting ya uber and other similar apps kwa mtizamo wangu haitakiwa kuwa na mfanano wa gar za kibiashara. Hivyo kama matumizi yangebakia katika misingi ya mwanzo ya uanzishaji wa network hii nadhan hata biashara ya tax ingekuwepo sambamba na uber na app mfanano wake. Mfano mzur ni "Airbnb" accommodation alongside lodge na hotel.
Kwa hivyo bei ya huduma ya Uber inapaswa kuwa chini tofaut na gar za biashara kwa maana yenyewe ni utumiaji wa pamoja wa gar 'ride sharing'.