Nishee na nyinyi hii, japo sio muandishi mzuri lakini nitajitahidi nifupishe nieleweke.
Mwaka jana nikiwa Zambia,kuna rafiki yangu alikwama katika biashara zake,katika kuhangaika kutafuta...
The International Democrat Union (IDU) is concerned about the latest development in Tanzania. On Friday, February 22nd, 2019, the Government of Tanzania gazetted amendments of the Political...
Wakuu Kuna Video Nimeiona Ameituma Mchungaji Mashimo Akilalamika Kwamba Wanafunzi Wanaosoma Shule Za Kata Huko Maeneo Ya Mbezi Hawaendi Shule Wanaenda Wanakaa Kwenye Vijiwe Wanasubilia Mda Uishe...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Kilimo iwawezeshe watafiti katika kituo cha utafiti cha zao la michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma, ili waongeze kasi ya uzalishaji wa mbegu bora...
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?
Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!
Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha...
Kutokana na agizo usajili wa laini za simu kwa kutumia Alama mwili, binafsi nangoja kufungiwa tu na kuanza maisha mapya ya bila mawasiliano ya hand set.
Naona zoezi hii kiimani zaidi, Naliona...
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
Muujiza huu ulifanyika mwanzoni mwa karne ya saba, wakati mtawa wa Basilia alipokuwa akisoma Misa. Baada ya kubariki mkate na divai, alianza kuona mashaka kama kweli katika kalisi ile na mkate ule...
Wakuu naombeni ushauri,
Kuna mdosi ameniajiri kwenye kampuni yake kwa miaka kadhaa na kama mjuavyo hali ya maisha kadiri siku zinavyoenda inakuwa ngumu mwelekeo siujui na kuacha siwezi ni hivi...
Ni utaratibu gan sahihi kufuatwa wakati wa kununua gari kutoka mikononi mwa mtu ama kama unataka kumuuzia mtu gar?
Na maanisha mkataba ni lazima ufanywe chini ya usimamiz wa mwanasheria ama...
Wadau,
Kuna tetesi, baadhi ya waandishi wa habari ambao wanachapisha taarifa za uongo kutoka kwa wanasiasa watawajibishwa kwa mujibu wa sheria hapa Tanzania
Taarifa hizo ni zile ambazo...
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi...
Polisi katika Kaunti ya Migori wamesema wamepata nyeti za mwanamume wa miaka 31 aliyevamiwa na uume wake kunyofolewa na watu wasiojulikana mnamo Aprili 13. Tukio hili la kushangaza lilitokea eneo...
Ujenzi wa Terminal 3 katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) unakaribia kukamilika, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamuru Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA)...
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara katika operesheni inayoendelea wamewakamata watuhumiwa 21, wanaojihusisha na matukio ya uhalifu ikiwemo uvunjaji wa nyumba na wizi wa...
Kamanda wa Polisi viwanja vya ndege Tanzania, ACP Jeremiah Shila amefunguka kuhusiana na tukio la kumkamata abiria aitwaye Linda Mazure, raia wa Latvia (22) mwenye hati ya kusafiria namba...
Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa...
Hbr za asubuhi Wakuu....!!!!,Ukistaajabu ya Musa utaona vya Filauni, ndicho Ninachoweza Kusema pale nilipomsikia jamaa Mmoja Dereva wa gari,huyu alikuwa na tabia ya Umbea sana na kupenda kuongelea...
Napenda kufahamishwa kwa anaejua hatua, kwa kifupi kuhusiana na.namna mfuko hutoa fao la kudumu ,maswali yangu ni kama ifuatavyo
1,huchukua muda gani kulipata fao la kudumu ikiwa nyaraka zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.