Ukifika miaka50 oa binti wa miaka20+ akulee uzeeni

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Najua wapo watakao pinga ila haiwezekani we mwanaume unazeeka na mke wako anazeeka hii hapana.

Lazima upate mke mpya atakayeweza na kumudu kazi za kiunyumba n.k.

Unajua wanawake wakifika 50+ wanapungua na wanakuwa hawana hisia za mapenzi ila tofauti na mwanaume.

NB: hakikisha unapata mtoto wa uzeeni haiwezekani unafikia 50+ watoto wote wanajitegemea hata mtoto wa kumtuma maji hakuna..hapana.
 
Nenda chuo chochote. Chukua binti wa miaka 20 mfanye nyumba ndogo. Akifikisha miaka 23 achana nae kachukue mwingine wa 20
 
Kwann nimuache akifika 23?

Pata pesa kwanza
 
Fikra duni sana hizo ukifika above 50 anza kutumbua akiba yako na mkeo maana watoto washakuwa washaoma wanajitegemea. Cash balance ikiisha uza mjengo mmoja pata 500m endelea kutumbua maisha na mzee mwenzio. Hivyo hovyo mpaka mijengo yote uliyojenga wakati wa ujana iishe kama mungu atawapa uhai. Hiyo ndiyo habari bii mdogo atakuua wewe na bii mkubwa arithi mali acha mawazo ya hovyo.
 
Hoja yako inaungwa mkono na prof Juma kapuya, Mzee Reginald Mengi bila kusahau mzee Robert Gabrial Mugabe & Jacob Zouma! Wote hao ni watu wenye degree zao vichwani! Hata hivyo, shamimu muuza matunda wa buguruni malapa na Jackson fundi bomba wa tegeta hawataki kukubali hoja husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom