Kuendelea kutumia Vivuko(Pantony) ni ishara ya kutojiongeza

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ukiachilia mbali malipo yanayolipwa kama tozo ya kuvuka; Kama ilivyokuwa zamani GARI MOSHI lilivyotumia kuni na mkaa Tukaachana nalo;

Inashindikanaje Pia kuachana na hivi vivuko vya kizamani Mijini pakajengwa madaraja ya kama Haya?
Screenshot_20190418-130240.png
Screenshot_20190418-115418.png
 
Kuna wakati kumwambia mzazi wako hakuwa na akili wakati amekuzaa wewe ni ukosefu wa no dhamu

Unacho paswa kufanya ni kupeleka wazo lako kwa wahusika ili lifanyiwe kazi
 
Yale maflaiova ujenzi wake ulipingwa balaaa. Waafrika hatuna jema
 
Mbona hamueleweki munaitaji nini, akijenga miundombinu munasema sio tija tija maisha ya mtu na mtu hapa tena munakuja kulilia miundombinu akijenga mutalia tena pesa tabu | kweli kuongoza watu shida.
 
Mbona hamueleweki munaitaji nini, akijenga miundombinu munasema sio tija tija maisha ya mtu na mtu hapa tena munakuja kulilia miundombinu akijenga mutalia tena pesa tabu | kweli kuongoza watu shida.
hatuendi na kas
 
Back
Top Bottom