kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kwa mujibu wa shahidi wa Kwanza kwenye kesi ya viongozi wa Chadema Ni kwamba polisi walitumia risasi za moto kutokana na Askari waliokuwa wakitumia mabomu ya machoz kushindwa kutumia mabomu hayo baada ya upepo kurejesha moshi kwako badala ya moshi kuwaelekea waandamanaji.
Huyu ni Askari anatoa huu utetezi mahakamani, lakini pia Ni kiongozi wa jeshi la polisi. Wataalam tusaidieni,upepo wa mkwajuni upoje? Labda panafaha kujengwa mitambo ya umeme wa upepo
Huyu ni Askari anatoa huu utetezi mahakamani, lakini pia Ni kiongozi wa jeshi la polisi. Wataalam tusaidieni,upepo wa mkwajuni upoje? Labda panafaha kujengwa mitambo ya umeme wa upepo