Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu meneja tangu february 19 mwaka huu anazungusha pesa yangu hataki kuitoa kanipa kiasi tu cha pesa inayotakiwa, nyingine iliyobakia hataki kumalizia na sasa hapokei simu wala hajibu meseji...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu niitazame hii video, nimejikuta nikitamani kujua hii lugha aliyoitumia muimbaji. Na ana maanisha nini kwenye huo wimbo?! Ni hayo tu, natanguliza shukrani!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha...
23 Reactions
110 Replies
16K Views
Spathodea campanulata (African tulip tree). Ni mti ambao upo katika familia ya Bignoniaceae, ambao asili yake ni Afrika ya kitropic kuanzia Sudan, DRC, Tanzania hadi Ethiopia na sehemu zingine...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kuna mti hapa nyumbani baadhi wanasema ni mti wa mlonge. Nataka kujiridhisha hapa kupitia kwa wenye uzoefu na mti huu. Je huu ni mti wa mlonge au ni mti gani? Wema ni akiba.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
OFISI ya Taifa ya Mashtaka imeshughulikia mashauri ya jinai 4,429 yanayohusu uporaji na uuaji wanyamapori, dawa za kulevya, uhujumu uchumi, rushwa na mauaji nchini. Akiwasilisha hotuba ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitoe pongezi kwa ubunifu wenye ushindani makini. Kule Kenya kuna SHAMBA SHAPE UP yenye muundo kama hii SHAMBA LULU. Naamini sisi wakulima na wafugaji tutafaidika sana.
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Wanasayansi wanasema kuwa inakadiriwa kuna nyota zaidi ya septillion moja katika ulimwengu (1,000,000,000,000,000,000,000,000,000) Mpaka sasa inakadiriwa kuna mabilioni ya sayari na mamilioni ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Plastic contamination of the natural environment has now reached epidemic levels, with particular concern surrounding tiny ‘microplastic’ particles. How do microplastics affect human health? The...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Former top judge banned from public office for ten years Thursday April 18 2019 Former Chief Justice of Nigeria (CJN) Walter Samuel Nkanu Onnoghen smiles as he appears before the Code of...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Mtangazaji wa BBC Vicky Mtetema amedai kufuatiliwa na waganga wa jadi kutoka Mwanza wanaotaka kumdhuru. Mtetema amesema alikuwa Mwanza kwa miezi kadhaa akitafiti na kuripoti habari za mauaji ya...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imepiga marufuku taasisi au mtu binafsi kurusha angani vifaa ya kielektroniki visivyo na rubani (Drones) bila kupata kibali/idhini maalum kutoka Wizara ya...
11 Reactions
224 Replies
35K Views
TCRA ni msimamizi wa matangazo ya redio na runinga Tanzania, msimamizi anatakiwa kuhakikisha pande mbili anazosimamia zinapata haki sawa. TCRA imetoka kwenye usimamizi na kujikita kwenye mahakama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Somo hapo juu lahusika. Naomba kujua: kuhamisha Wizara kwenda Dodoma huku Ofisi zote za Mabalozi wa nje zikisalia Dar hakutapunguza efficiency kimawasiliano kati ya taasisi hizi mbili? Naomba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mfuko wa Shirika la bima ya Afya Tanzania ni wauaji wapya Tanzania kuliko magonjwa yenyewe. Idadi kubwa ya wagonjwa kutoka hospitali mbalimbali zikiwa za binafsi au za Serikali wamekuwa wakikosa...
4 Reactions
38 Replies
11K Views
Habarini za muda huu. Naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anapafahamu MWEDA Msumbiji Na viunga vyake tafadhali naomba ani PM
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watu wengi sana wamekuwa wakituhusia kuhusiana na swala la kutenda haki. Wazazi, Viongozi wa kidini, Viongozi wa kiserikali na makundi mengine mengi... Lakini swali ni Je ni kwanini ni muhimu...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Wakuu nataka nani au ni bendi gani iliimba huu wimbo wa mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni...Mtu chake apendacho, hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani:sleepy:
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Wakuu kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, najua hakuna mwanadamu anayepumua pasi na kuwa na mawazo na mipangilio mbalimbali ya maisha yake. Hivyo basi kuna mazingira tofauti ambayo wengi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Masudi ni jamaa wa kitaaa muda kidogo hapa maskani.namfahamu kwa jambo hili kubwa.ni mchakalikaji sana...anatafuta pesa kwa hali na mali na akiwa nazo utajua tu na watu wa karibu yake watajua...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom