Dar es salaam inanuka sana, ni jiji chafu

Dar es salaam inanuka sana, ni jiji chafu

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,955
Waungwana tuache masihara, Dar ina maeneo mengi machafu sana. Mifereji, gereji bubu na vitu vingine vinavyofanana na hivi vinazalisha harufu nzito.
Hiki kitongoji kinanuka sana.
 
Kapicha tafadhali ili tupate ukweli.
 
Waungwana tuache masihara, Dar ina maeneo mengi machafu sana. Mifereji, gereji bubu na vitu vingine vinavyofanana na hivi vinazalisha harufu nzito.
Hiki kitongoji kinanuka sana.
Ndio maana kila binadamu amepewa pua ,kunusa mazuri na mabaya kisha kuchukua hatua stahiki... Ukiona eneo kuna harufu mbaya na wadau a.k.a wapiga kura wako poa achana nao Fanya inshu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar cha mtoto kwa Nairobi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kila mwananchi anapaswa kuwajibika katika eneo lake..

Makonda mzee wa operesheni zinazoishia njiani.. Aliita wanajeshi woote waliotoka vyuo wawe wanafanya usafi. Sijui iliishia wapi!??
 
Kila mwananchi anapaswa kuwajibika katika eneo lake..

Makonda mzee wa operesheni zinazoishia njiani.. Aliita wanajeshi woote waliotoka vyuo wawe wanafanya usafi. Sijui iliishia wapi!??
Sawa ila serikali ni kama imelala.. Mvua ikinyesha kidogo stand karibia zote zinageuka madimbwi..

Angalia barabara inayoingia kituo cha mawasiliano, angalia stand ya makumbusho, kimara mwisho, nenda mbagala ndo hovyo kabisa..

Kuna muda huwa najiuliza huu ushuru wanaokusanya kila siku wanapeleka wapi
 
Ni wananchi ndo wanatupa taka hizo...
Kila familia au mtaa ungekuwa na utaratibu wa kutokomeza taka Dar isingenuka..
Kuna watu wanatoka na taka kwenye magari yao...wanazitupa hovyo usiku...
Badilikeni wananchi.
 
Waungwana tuache masihara, Dar ina maeneo mengi machafu sana. Mifereji, gerenaji bubu na vitu vingine vinavyofanana na hivi vinazalisha harufu nzito.
Hiki kitongoji kinanuka sana.
Mhusika mkuu yupo bize na serengeti boys na liquid, sasa kwa kuwa huko ameshindwa labda sasa atarudi kwenye usafi
 
Wanaishije sasa
Yaani ukipita na bus maeneo ya Eastleigh utabanwa pumzi halafu unaona mitaro imefukuliwa na kujazwa kando ya barabara huku wenyeji wanachoma mahindi na kula hapohapo
Sio jambo la kushangaa maana uchafu ni jadi
 
Back
Top Bottom