mbombo mte
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 713
- 197
Kitengo cha kutoa liseni cha Manisipaa ya Temeke jitafakari maana naona hamuendani na kasi ya JPM.
Ikiwa nimelipa kodi ya mapato na kupata tax clearance toka TRA, nikaja kwenu na kulipa ada ya liseni, mbona mnakuwa wasambufu kutoa liseni?
Ukishalipia unaambiwa njoo kesho. Unaenda kesho yake unaambiwa bado hazijatoka njoo SAA 8 au 9. Ukienda bado hazijatoka, njoo kesho!!! Toka wapi? Toka mbinguni?
Jirekebisheni na kutoa huo usumbufu wa wananchi, maana ni gharama sana kuja Mara kwa mara hapo na kurudi bila mafanikio ukizingatia ugumu wa usafiri wa DSM.