Hivi hii kula mara tatu nayo ilitoka kwa wakoloni au mpango wa Allah?

lkn vyanzo vingine vya kiafya vinasema tunatakiwa kula asubhi na juoni tu.
asubuhi unakula wa kukuvusha kabisa.
Hii concept labda kwa wanaume wa dar

Usile mchana inamaana mchana mzima unaumaliza kwa kulala hadi jioni kazi hufanyi?

Kama ushawahi kukaa boarding utakubaliana na mimi kua huwezi ukala asubuhi halafu upige pasi ndefu then masomo yakapanda

Huku tunakula hadi 4 times per day na hakuna wakushangaa

Sent using unknown device
 
inakuwaje au ilianzaanza vipi dunia nzima ikakubaliana kula mara tatu kwa siku.
breakfast
lunch
dinner


wajuvi wa historia ilianzaanza vipi hii kitu.

au ilianzia oldvai gorge kwa zinjantropa.
Huu utamaduni ulianzia kwa watawa kikristu huko Ulaya. Kutokana na aina ya maisha yao ya kimonestari walijiwekea utaratibu wa kula mara tatu. Jamii nyingi zilikuwa na desturi ya kula mara moja kwa mfano Warumi na mara mbili kwa baadhi ya jamii mfano jamii za Afrika.

Kula mara tatu ni utamaduni uliokuzwa sana na Waingereza baada ya mapinduzi ya viwanda wao wenyewe wakiwa wameuiga toka kwa watawa mwishoni mwa karne ya 17.

 
Ni utaratibu ulioletwa na mabeberu. Ndio maana serikali ya chama makini inaupinga kwa vitendo kuhakikisha watz wanakula mara moja kwa siku, au ikiwezekana wanywe hata uji baada ya siku mbili

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
mkuu umesahau kuna hii kitu yao ya mlo wanaita "sapa" hasa cjui inakuwa nyakati ipi? yan hawa wakijiskia kutuvuluga wanaweza wanaweza hata wakaanzisha "pre breakfast"
 
Dah...mwaka wa 35 huu...asubuhi ni dona na maharage...saa 11 jioni Dona na mbogamboga...saa4 usiku juisi ya mlonge...nyama nakula mwaka mpya tu

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom