Wakuu Lediz and Jentomen
Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze.
Natanguliza shukrani
Habarini ndugu zangu, natamani sana kufanya kazi kwenye makampuni yeyote ya simu kama voda, tigo, ttcl, airtel, or Zantel
Nimeshapeleka cv zangu uko kote kwenye makampuni ila sijawai kuitwa...
GTs,
Imekuwa ni kawaida wanyama waharibufu wa mazao (mfano kwelea kwelea kuuawa) kwa kutumia sumu.
Je hakuna njia mbadala ya kuwathibiti hawa wanyama waharibufu zaidi ya kuwaua kwa sumu?
Nini...
Wanajukwaa,
Mimi ni mtanzania mwanaume mwenye miaka 37. Nina mpango wa kwenda South Africa kuosha macho.
Suala langu naomba kwa mzoefu anipe gharama ya nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya...
Kuna kila dalili ya kuwepo mgomo mkubwa sana wa wafanyakazi wa umma nchi nzima, ambao haukuwahi kutokea katika nchi hii tangu ipate uhuru, kufuatia serikali kushindwa kuwapandisha madaraja...
Hii kitu imekuwa Kama ndo mahali pa kutafuta Kiki, ndani ya siku 30 viongozi watano wa shirika la umeme wametumbuliwa na wanasiasa. Hii ni kwanini, au shirika la umeme ndo njia nzuri ya kupata...
Hii Serikali yetu sikivu sasa imeamua tufe kwa UKIMWI kabsa kwa kutunyima condom sijui kwa faida ya nani:
Condom zilianza kuadimika mitaani kama masihara ila sasa ndo zimeadimika kabsa..
Kwa...
WAZIRI wa Nishati, Dk Merdad Kalemani amesema Serikali itatumia Sh bilioni 87 kwa ajili ya kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma ukitokea Tabora na kwamba kazi hiyo itakamilika mwakani. Dk...
Jiwe kubwa (asteroid) lililopewa jina la Apobhis kupita karibu na dunia(flyby) mwaka 2029. Jiwe hilo liligundulika na Wanasayansi wa anga mwaka 2004 likiwa na takribani mita 340 za Kipenyo na...
Nimeikuta katika Jamii forum ya Nigeria (Nairaland) hii habari... Ina ukweli wowote au wanalishana uongo? Wengine wakienda mbali kutukana kuwa nchi ina majitu majinga n. k...
Wanaitwaa KUNGURU ndege wenye uwezo wa kuongea zaidi ya kasuku
Unaweza ukashangaa lakini ndio uhalisia kwamba kunguru wanapiga lugha vizuri Pia ni ndege wenye akili sanaa
Kwa kingereza wanaitwa...
Wadau nashangazwa sana na kuwepo na madanguro kila kona ya jiji la dar es salaam kuanzia uwanja wa fisi, Mwananyamala hospitali, temeke sudani, Tandika etc.
Tena kama mwananyamala ni mita 5...
Wengi tulizaliwa na kukulia katika maisha haya, wengine bado tunayaishi.
Moshi wa kuni husababisha ukungu kwenye lens ya macho (cataract), lens isipobadilishwa husababisha upofu wa macho.
Kama...
Habari wakuu
Naishi chumba kimoja kisicho na upenyo wa kupitisha kitu chochote kuingia ndani,leo siku ya tatu nimekumbwa na tatizo la kukuta magamba ya samaki makavu kitandani,huwa sina mahusiano...
Mengi ameondoka na ndoto zake tatu kubwa
Source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Mengi-ameondoka-na-ndoto-zake-kubwa-tatu/1597296-5098414-yk5rv5z/index.html
By Elizabeth Edward...
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa...
Habari wanajukwaa, natumai wote mko poa. Shida yangu naomba kufahamishwa ikiwa kuna usafiri wa treni kuanzia Dar to Shinyanga na ni sh. ngapi na inachukua muda gani. Wassalam
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana tumeshuhudia wafanyakazi walio wengi wakinung'unika kwa kutoongezewa mishahara na lawama zote zikielekezwa kwa mkuu wa nchi.
Nami pia namuunga mkono rais...
Watafiti Wanasema Upo Uwezekano wa Chai ya Moto Kusababisha Kansa ya Koo.
Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la Cancer Epidemiology watafiti wamegundua kuwa wenyeji huko Magharibi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.