Siku ya leo inaishia na 'habari kubwa' ya bilionea Arusha kuumbuana na mkewe wa ndoa mitandaoni... Mkewe walizaa watoto wazuri wasio na kasoro lakini sasa wazazi wametalikiana na wanaumbuana na...
Kwa walio Dar na wako tayari kuwekeana fedha kwa njia ambayo tutakubaliana tunaweza kuwasiliana PM then tutapeana namba za simu.
Mimi niko upande wa kupinga kuwa kesho hatatangaza salary mpya...
PASIPOTI mpya ya Tanzania ya kielektroniki, imetunukiwa Tuzo ya kuwa pasipoti bora katika Ukanda wa Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika, kwa kukidhi viwango vya ubora wa kiusalama.
Viwango hivyo...
Habari wakuu [emoji1538]
Hotuba ya mkuu wa nchi katika sherehe za Mei Mosi malalamiko ya watumishi na wafanyakazi ni mengi sana husus wa serikali
Neno langu kwenu wafanyakazi wa serikali kwanini...
Ikiwa karibu tunafunga mwezi March ni miezi mitatu sasa toka utoe tamko lako la kutaka watu walipwe cha ajabu hamna kinachoendelea ni ubabaishaji tu ni bora hata lile tamko lisingekuwepo la kusema...
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari vya mikoa tofauti na Dar Es Salaam, leo wameamua kufuta ukimya na wamelalamikia ubaguzi unaofanywa na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) dhidi yao...
Licha ya kwamba pombe imekuwa sehemu ya maisha ya binadamu lakini matumizi ya pombe kwa kiwango kikubwa yanahusishwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sayansi imekwisha thibitisha kuwa Pombe...
Mwenyezi Mungu akikupa ' Utajiri ' basi hakikisha sana Kwanza unaanza Kuonyesha ' Upendo ' wako kwa Watu wako wa karibu au ulionao Jirani kuliko kuonyesha ' Ufahari ' na ' Sifa ' kwa Watu wa mbali...
Mungu ni mwema kwa Watu wema muda wote na kwa kila wakati.
Fikra zako na Maisha yako ni ya ukweli mtupu, hakika wewe ni wakipekee Mungu azidi kukuimarisha.
Lawama unazo pata natamani nife...
Ndugu zangu siku za hivi karibuni kumeibuka msemo mpya katika kumtakia heri marehemu huko aendako,, utaskia mtu anasema;
''Mwenyezi Mungu amlaze mahali alipojichagulia/anapostahili"
Huu si...
Salaam Jf,
Niruhusu niwe sehemu ya baraka katika Jmosi ya leo. Kwa siku kadhaa zijazo nitakushirikisha mambo ya msingi ambayo yamekufanya mpaka leo uendelee kuwa masikini.
Umaskini ni adui wetu...
Hii ni barua ya wazi kwa Mjomba ake Monde Arabe
Mwangaluka mami,ulemhola mami,ulichiza mami,
Lengo la barua hii ni kukukumbusha tu Mjomba kuwa sisi na wewe sote tu manyani na ni viumbe wa kupita...
Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV .
Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV...
Ni tukio ambalo mpaka sasa siamini amini hadi imenipelekea kula ugali wangu kwa mkono wa kushoto maana kilichonitokea sijui ni uzembe wangu au kutokujua au ni kujisahau
ipo likizo kidogo kikazi...
Wakuu,
Mimi siyo Mtumishi wa Umma (Ni mjasiriamali) ila hili suala la Maslahi ya Wafanyakazi/Watumishi limenigusa sana. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hivi vyama vya Wafanyakazi...
POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili anayesoma Shule ya Sekondari St Apostos, Yela Sylvester maarufu Cosmas (17), kwa kosa la kudanganya wazazi wake kuwa ametekwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.