Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niko hapa halotel toka saa mbili hadi hivu sasa saa 6 mchana. nimekuja kusajiri laini yangu.kwa Huduma inavyotolewa inaonesha dhahiri hamjajipanga kabisa ni vyema mkahahirisha sasa kusajiri kuliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*NAOMBENI MNISAIDIE KUSHARE HUU UJUMBE WADAU* Kwa majina naitwa Enock Yusto mkazi wa Dar es salaam. Leo tarehe 3/05/2019 majira ya saa Tisa alasiri nimeibiwa bag langu maeneo ya Msimbazi Centre...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwanafunzi Magreth Kayuni (15) wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Vwawa iliyopo wilayani Mbozi mkoani wa Songwe, amekutwa amejinyonga jikoni leo asubuhi kufuatia adhabu ya kupigwa na...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
#Utafiti Usio Rasmi ila ni Mhimu Kwa mjibu wa utafiti huu mdogo nilioufanya kwa kuchukua kada tatu ya wafanyakazi walimu, bank officers na wale wa wizarani nimebaini kuwa nyongeza ya mishahara yao...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana mabishano Mengi juu ya uwezo Wa serikali ya awamu ya tano kuchapa kazi!!!! Usipumbazwe na mapichapicha na matukio mitandaoni!! Njia rahisi ya kujua kama serikali hii ni ya wanyonge...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tawi hili la UVCCM la chuo kikuu cha Afya Muhimbili limekuwa likijadili mambo mbalimbali kuhusu Chama ila lengo kubwa ilikuwa ni kuhamasisha wanachama kujiandikisha ili wapatiwe kadi mpya za Chama...
45 Reactions
128 Replies
15K Views
Habari wadau wote wa JF Najiuliza ili swali bado sipati jibu katika pitapita zangu kwenye kuitafta riziki nakutana Sana na watumishi wengi wa serikali kama madaktar, askari Mafsa ugani, manes nk...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakati wananchi tunaomboleza kuondokewa kwa kipenzi cha hasa walemavu, Dr R Mengi, ambaye amejijengea heshima kubwa ya kutoa nafasi nyingi za ajira, humu JF tumekuwa tukilalamikia ukosefu wa ajira...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Biashara ya madanguro katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam imeshamiri na kuhatarisha kuporomoka kwa maadili kwa watu wanaoishi jirani na madanguro hayo. Hata hivyo, watu wanaofanya...
0 Reactions
83 Replies
36K Views
Hii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidie
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila mtu huwa anaogopa kitu flani aidha kutokana na mazingira aliyopo au wakati. Mfano, kuna watu wanaogopa kutembea usiku, kupanda boda. Kila mtu aseme anachoogopa na kwanini...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zanguni Kuna maumivu ambayo nayapata kwapani ambayo sijui yametokana na nini Yalianza juzi nilipo amka tu nikahisi maumivu kama kuna kipere lakini nikapuuzia Ila jioni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Michael Samwel (23), mlinzi wa kiwanda cha unga cha Lina Miller kilichopo Msongola jijijni Dar es Salaam, ameuawa usiku wa kuamkia jana Alhamisi Mei 2, 2019 lindoni kwake. Samwel...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wana Jf Mara nyingi hunijia hali ya kutaka kugailisha mambo yani tunaweza tukapanga mchongo tena nikaufurahikia tena katika hali ya kawaida ni-mchongo wa maana tu lakini baada ya muda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mjadala nimeusikia kutoka kwenye radio kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana wa elimu ya juu. Watanzania wengi hukimbilia kusema wajiajiri.Mimi mawazo yangu , nikianza na serikali ingefanya...
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Kwa pamoja tuitumie salama NIDA na TCRA kuwaambia kwamba vitambulisho vya NIDA na namba zake wengi hatuna licha ya kujiandikisha muda mrefu toka MWAKA Jana. Kama unakitambulisho cha NIDA ama...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Maneno hayo juu yalipatwa kutamkwa na Martin Luther King ( Jr) alipokuwa gerezani. Mwanadamu unapokuwa kwenye matatizo unawahitaji zaidi wanadamu wenzako, na hususan marafiki...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mzuqa! Mimi katika maisha yangu nipo very careful na cautious. Makini kweli kweli. Niko makini kila sehemu. Napotembea sijiachi macho yangu yanaangaza shingo inazunguka najaribu kustudy na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwili wa Frank Kipange (22) umechukuliwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya leo tayari kwa mazishi baada ya kukaa mochwari kwa miezi 8. Awali ndugu wa marehemu walikataa kumzika wakitaka uchunguzi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*HERI JAMES: WALIOKAMTWA NA RUSHWA UVCCM MBEYA WASHUGHULIKIWE, AONYA WAFUASI WAO* Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Heri James ametoa msimamo mkali dhidi ya kundi la vijana wanaodaiwa kujitokeza kutetea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom