Kila naporudi toka kazini nakuta magamba ya samaki kitandani

Bunchari

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
489
531
Habari wakuu

Naishi chumba kimoja kisicho na upenyo wa kupitisha kitu chochote kuingia ndani,leo siku ya tatu nimekumbwa na tatizo la kukuta magamba ya samaki makavu kitandani,huwa sina mahusiano mazuri na mama mwenye nyumba kuna uwezekano anaingia kwangu kichawi napokua sipo????
 
Acha mawazo yako
 
Hakuna upenyo mkuu nimeziba tundu na mianya yote vitu kupita.
 
Inawezekana kitanda chako ni dining table ya panya wa mtaa huo.

Cheki vizuri...
 
lazima kuna mtu au mdudu analeta huo uchafu,endelea kusurvey kwa wiki mbili zaidi,je magamba yataendelea?,je huyo bibi anafanya kazi ya kupara samaki? Etc,na kama vipi funga cctv hata ya kienyeji,mtafuta fundi simu akutengezee kama hutaki kununua originaly
 
Warenchoka na Wanchari
Mkuu mbona mambo ya uchawi ukuryani sio sana
 
Back
Top Bottom