and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,519
- 40,363
Wadau nashangazwa sana na kuwepo na madanguro kila kona ya jiji la dar es salaam kuanzia uwanja wa fisi, Mwananyamala hospitali, temeke sudani, Tandika etc.
Tena kama mwananyamala ni mita 5 kutoka ofisi ya ccm na ofisi y mwenykiti seikali ya mtaa na bado wanafumbia macho je, ni kwamba mmehalalisha?
Tena kama mwananyamala ni mita 5 kutoka ofisi ya ccm na ofisi y mwenykiti seikali ya mtaa na bado wanafumbia macho je, ni kwamba mmehalalisha?