Vacation South Africa

Vacation South Africa

AI_GURU

Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
54
Reaction score
64
Wanajukwaa,
Mimi ni mtanzania mwanaume mwenye miaka 37. Nina mpango wa kwenda South Africa kuosha macho.

Suala langu naomba kwa mzoefu anipe gharama ya nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya kukaa kule kwa siku saba, preferably kwenya gest za kawaida (yani zenye ubora kama wa gest za bongo za elf 20 au 25).

Pili kwa wale wadau wa mambo yetu wanaweza kunisaidia Ambiance na la Chaz za kule.

Thanks in advance.
 
Naona umepotea jukwaa ....

Ila watakuja kukuelekeza
 
Mku unaenda Mji gani
Wanajukwaa,
Mimi ni mtanzania mwanaume mwenye miaka 37. Nina mpango wa kwenda South Africa kuosha macho.

Suala langu naomba kwa mzoefu anipe gharama ya nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya kukaa kule kwa siku saba, preferably kwenya gest za kawaida (yani zenye ubora kama wa gest za bongo za elf 20 au 25).

Pili kwa wale wadau wa mambo yetu wanaweza kunisaidia Ambiance na la Chaz za kule.

Thanks in advance.
 
Kwa gest nitakudanganya Mku ila za bei hiyo zipo Moja ilikuwa inamilikiwa na Wakongo ilikuwa maeneo ya Donfontine -Davis Street .
Ila kwa Mambo yako nenda Urope na The Pades wapo wengi tu .
Johannesburg mkuu
 
Back
Top Bottom