Natafuta sehemu nzuri ya “karaoke” siku ya leo

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Wakuu Lediz and Jentomen

Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu Lediz and Jentomen

Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze.

Natanguliza shukrani
unataka kusema dar wewe ni mgeni au anataka kampani
 
unawashwa na koo tu au kuna sehemu nyingine inawasha? manake tatizo mademu huwa mnashindwa kujielezea mkizidiwa.....ok je una chura? sura inauzika? kama ndiyo uje Triangle Lounge-Namanga
 
Ukishaipata hio karaoke mi ntajitolea kukupa yangu ila unihakikishe kwanza utaishika kwa umakini usije ukaiangusha ikakwaruzika.
 
Wakuu Lediz and Jentomen

Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze.

Natanguliza shukrani
usisite kututumia video clip basi hata audio
 
Wakuu Lediz and Jentomen

Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze.

Natanguliza shukrani
Dah, mtoto mzuri ingekuwa tabora ningekukaribisha Oxygen Lounge. Usingejutia
 
Next time please unipigie nikutajie nitakapokuwepo maana kila Ijumaa na Jumamosi sikosi Karaoke!
 
Back
Top Bottom