Kiherehere cha Kibonde katika ue-mc kimeharibu kazi nzuri iliyokuwa imeandaliwa na mc maarufu wa Arusha anayejulikana kama papa msofe!
Ndio maana tukio la EL kutangaza nia likaonekana ni tukio...
Nilipewa end of contract last year, nikapeleka ofisini kwao wakasema ukae mwezi moja then ufungue madai nilifanya hivyo .on February 5 nikarudi kufungua madai nikaanza wakanipa form ya kujaza...
Serikali ya Tanzania imesema walimu hawapaswi kudai malimbikizo ya nyongeza ya mwaka ya mashahara kwa miaka ambayo nyongeza hiyo haikutolewa.
Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 10 bungeni na...
Mbeya. Baba mzazi wa Rose Japhet(6), mkazi wa Msewe, kata ya Igurusi-Mbarali, mkoani Mbeya na mfanyabiashara mmoja wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mtoto huyo ili...
Kutoka hotel ya Mount meru watalii waliotua nchini kutoka nchini China wakipata chakula cha usiku huku Mgeni rasmi akitarajiwa kufika wakati wowote kuanzia hivi sasa.
Cha kushangaza hawa wachina...
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua...
Ikiwa leo ndio kilele cha maadhimisho ya siku ya Wauguzi na Wakunga duniani, msajili wa baraza la ukunga na uuguzi Tanzania (TNMC) amesema ya kwamba wanatarajia kushusha vigezo vya udahili ili...
Umofa kwenuuu!!!
Miezi kama mitano iliyopita, ubavu wangu ulikatiza mitaa flani ya jiji la dsm katika harakati za kupambana na Vyuma, Mjasiliawizi mmoja akampiga roba na kukimbia na smartphone...
Wananzengo Habari za Jumapili! Natoa wito kwa Serikali hasa mamlaka husika kwa kuangalia viwango vya vinywaji na vyakula kutoa tamko haraka na kupiga marufuku kabisa biashara ya Konyagi ya kupima/...
Salaam wakuu,
Nianze kwa kuwapongeza umoja wa mawakili "walioshinda" kesi juu ya wakurugenzi wa wilaya kusimamia uchanguzi huku waki simamia Katiba ibara ya 71 (14). Hakika wakurugenzi hawakupaswa...
Barabara inayotaka kona ya Mika (Rorya) hadi mpakani wa Kenya na Tanzania inayojengwa kwa kiwango cha lami ujenzi wake haujaisha zaidi ya 15 tangu uanze kujengwa. Mimi binafsi ninamlaumu Mhe...
KAMERA 10 kati ya 16 zinazotakiwa kufungwa kwenye Daraja la Juu la Mfugale eneo la Tazara jijini Dar es Salaam, zimeshafungwa hadi sasa. Kamera sita zilizobaki, zitafungwa wakati wowote, baada ya...
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha...
Wafanyakazi zaidi ya 100 wa Kiwanda cha kutengeneza mafuta ya Alizeti cha Mount Meru Miller's kilichopo Njiro jijini Hapa,wameandamana Kiwandani hapo wakiwa na madai mbalimbali zikiwemo stahiki...
wadau
hebu tulijadili hili
inakuwaje Kenya imeipeleka serikali yetu ktk mahakama ya EAC juu ya ujenzi wa Barabara ktk mbuga ya Serengeti? kwani Mbuga ni yetu na ujenzi wa barabara ni kwa ajili ya...
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.