SIJAONA BARABARA YA LAMI INAYOJENGWA KWA ZAIDI YA MIAKA 15

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Barabara inayotaka kona ya Mika (Rorya) hadi mpakani wa Kenya na Tanzania inayojengwa kwa kiwango cha lami ujenzi wake haujaisha zaidi ya 15 tangu uanze kujengwa. Mimi binafsi ninamlaumu Mhe. Mbunge wa Rorya kwa kutoweza kuwa na ufuatiliaji ili barabara hii iweze kukamilika. Juzi nilimsikia Mhe. Waziri wa Ujenzi kamwe sikusikia kama fedha zimetengwa kwenye bajeti kuhusu ukamilishaji wa barabara hii. Wana Rorya tuwe na uamuzi mgumu mwaka 2020 tupate Mbunge anayeweza kuwatumikia wana Rorya.
 
Back
Top Bottom