Marufuku ya mifuko ya plastiki

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
 
Dawa ya kutapika ni kukalia gazeti lililotumika na kipande kingine unanusa hamna kifaulisha, sema lingine.
 
Ni kweli Mkuu, nchi imejaa ushabiki wa "kikuda" kisa tu limetamkwa na kiongozi..... Binafsi naona ni heri wangeweka sheria Kali ya utupaji ovyo mifuko hiyo na sio kuzuia kabisa.

Iweje Manispaa ya Moshi waweza udhibiti wa taka na mikoa ypte ilobaki washindwe? Nendeni kajifunzeni huko ambako huwezi kuta si tu mifuko ya plastiki ikizagaa mitaani Bali hata taka zingine.
TUKUBALI KUJIFUNZA NA SIO KUZUIA PALE TUSHINDWAPO KUZUIA........
 
Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
Watakuwa wanatapikia kwenye gari. Kwani wakiwa na mifuko huwa wanatapikia nje ya gari?
 
Ni kweli Mkuu, nchi imejaa ushabiki wa "kikuda" kisa tu limetamkwa na kiongozi..... Binafsi naona ni heri wangeweka sheria Kali ya utupaji ovyo mifuko hiyo na sio kuzuia kabisa.

Iweje Manispaa ya Moshi waweza udhibiti wa taka na mikoa ypte ilobaki washindwe? Nendeni kajifunzeni huko ambako huwezi kuta si tu mifuko ya plastiki ikizagaa mitaani Bali hata taka zingine.
TUKUBALI KUJIFUNZA NA SIO KUZUIA PALE TUSHINDWAPO KUZUIA........
Asante kwa kutambua hilo,wameshindwa kusema ni mbinu gani mbadala tukiacha kutumia plastic???
 
mifuko ya plastic ni marufuku hakuna mjadala unajeuri tarehe 1 /6 bebea mfuko wa plastic kama wewe kidume
 
Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
watapike kwenye gari konda atadeki
 
Back
Top Bottom