TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
 
Kumbe namba ya mwalimu mkuu ulikuwa nayo na bado ukapigwa basi sisi hatuna msaada kwa niaba ya TCRA,.
 
Ujinga wako mwenyewe acha uibiwe utie akili.

Hizo mbinu za wizi wa kijinga kila siku members wanazielezea humu leo hii unaibia kiboya boya unaanza kulialia we mzembe
 
Mimi kuna mmoja juzi kanipigia Simu et kakosea kutuma pesa kwangu alfu35 nikamuambia poa nakurudishia hela yako.Nilivyokata Simu kuangalia kuna message ya kuthibitishwa kuwa nimepokea kiasi hicho ila cha ajabu hiyo message imetumwa na namba ya kawaida.Nikamrudishia ile message yake na matusi juu. Kwa tukio kama hilo kama hujatulia unaweza ukamtumia hela Jamaa ukidhan labda amekosea kumbe ni uongo .Pesa yoyote ikitumwa kwako inaingia either kwa TigoPesa au M-Pesa....Kuwa makini mkuu
 
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Ama kweli wajinga hawaishi hata kuuliza jina la huyo mgonjwa, umri, jinsia, shule nk ili kupata uthibitisho. Zamani nilijua jamii forum is the home of great thinkers kumbe hakuna kitu. TCRA Usiwasumbue hapo hapo

Any way pole ndugu jamaa leo balimi zitawakoma.
 
acha uboya we ina maana huo wizi hukuwahi kuusikia hata kwenye taarifa ya habari?
na mtazidi kuibiwa kila Siku
umeniuzi sana bora hiyo pesa ungetoa sadaka tu

Mimi siwezi nikamlaumu kuna wakati mtu akili huwa inapotea hasa kwa kitu kama hicho ila baadaye akili inarudi ndio unaanza kutafakari upya.

Huwa inatokea mkuu.
 
Mkuu, pana zile jumbe za kutumiwa pesa hizo nimezizowea lakini hii kwangu ndo imekuwa ya kwanza na sijapata isikia.

Wengi ambao sio wazazi hawatakuelewa, lakini kupanic kupo.

Jizoeshe kutokupanic unapopewa taarifa mbaya na ujitahidi kurudiarudia kichwani situation uliyoambiwa. Ningekuwa mimi ningeomba kuongea na mtoto, japo labda wangekujibu kwamba amezirai.

Kutulizana kungekupa ufahamu wa kumpigia mwalimu mkuu na kupata ukweli.
 
Back
Top Bottom