Kama watu wanaweza kutengeneza hivi basi Askofu anaonewa

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,551
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.
 
kuna watu mpk leo wanaamini mieleka ni kweli asilimia 100
Ile ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vile
 
Mi ile huwa sitaki hata kuiona.
Haiwezekani mwanadamu akafanyiwa vile na asiumie au asife.

Hata action movies sizitaki kabisa.
Mbona wanaumia sana tu john cena mwenyew alipigwa mpaka akavunjwa mgongo akawekewa vichuma sema ngumi wamepewa restriction ndo mana unaona wanapigia kwenye vidole hawapigi ngumi za mchezo wa boxer
 
Mbona wanaumia sana tu john cena mwenyew alipigwa mpaka akavunjwa mgongo akawekewa vichuma sema ngumi wamepewa restriction ndo mana unaona wanapigia kwenye vidole
Ndio mana wanatoa tahadhari [PLEASE DON'T TRY THIS AT HOME] ila nilisikia hata kuna dawa wanameza
 
Mkuu hzo ni katuni, mbna mnatumia nguvu nyingi sana kudefend kwenye hamna, mlianza na editing, mkaja na news nyingine kwamba kanyweshwa juice ya kichawi akajikuta anamla kondoo bila kujijua, leo tena mnakuja na story ya katuni

Ninachojua ni Kuwa Gwajima amefanya uzinzi, na itakuwa ni tabia yake....leo anaweza kuchafua watu waliovujisha video yake ila ukweli utabaki pale pale kwamba jamaaa ni mzinzi..!!!
 
Ile ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vile
ooohooo kwaio na ww ni mmoja waoo? Kwa taarifa yako kwenye wrestle only physicality is real, actions are scripted, Pamoja na kwamba kwa akili ya kawaida tuu unajua km si kweli ila mmiliki mwenyewe Mr Vince McMahon alikili huu utata, na kama ulikua hujui yule refa unaemuona pale ulingoni hayupo kusimamia mech bali ni kuelekeza cha kufanya na km hujui mda wote hua anaongea, na bingwa anakua ashajulikana
 
Mieleka kuna asilimia kama 20 ni maigizo huwa naingalia kila wiki, sema wanaorecord na kuturushia huwa kuna delay ya dk kadhaa ingawa wewe unaona kama ni Live lakini siyo live kama ilivyo kwenye sports. Na ujue tu mieleka ni entertainment na siyo sports tofautisha hayo maneno 2

Ya katika mieleka mshindi anakuwa anajulikana kabla hata hawajapanda ulingoni na wanaopigana unakuta wanamjua, kuna moja mieangalia ya Monday Night Raw, jamaa karuka kumpiga ngumi mwenzie hata haijampata lakini akajifanya kudondoka
 
Mbona ni makatuni tu kiongozi.....sijaona miuno ya paka wa mjumbe.
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.
 
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.

Naona asubuhi asubuhi mmecharuka kumtetea msinzi Gwajima! Ile clip ni ya kweli kabisa na imemuumbua na kadiri anavyowatuma kumtetea ndivyo anavyozidi kujiumbua
 
Mieleka kuna asilimia kama 20 ni maigizo huwa naingalia kila wiki, sema wanaorecord na kuturushia huwa kuna delay ya dk kadhaa ingawa wewe unaona kama ni Live lakini siyo live kama ilivyo kwenye sports. Na ujue tu mieleka ni entertainment na siyo sports tofautisha hayo maneno 2
ooohooo kwaio na ww ni mmoja waoo? Kwa taarifa yako kwenye wrestle only physicality is real, actions are scripted, Pamoja na kwamba kwa akili ya kawaida tuu unajua km si kweli ila mmiliki mwenyewe Mr Vince McMahon alikili huu utata, na kama ulikua hujui yule refa unaemuona pale ulingoni hayupo kusimamia mech bali ni kuelekeza cha kufanya na km hujui mda wote hua anaongea, na bingwa anakua ashajulikana
kama asilimia 20 tu ni maigizo hii inatosha kabisa kuamini watu wanapigana real
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom