Kibonde kaharibu kazi ya MC Msofe

Kibonde kaharibu kazi ya MC Msofe

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Kiherehere cha Kibonde katika ue-mc kimeharibu kazi nzuri iliyokuwa imeandaliwa na mc maarufu wa Arusha anayejulikana kama papa msofe!

Ndio maana tukio la EL kutangaza nia likaonekana ni tukio liloandaliwa na wahuni. Protokali zilivunjwa zaidi ya mara kumi. Je, hii ndio itakuwa timu ya protokali ya rais?..Pole sana Kibonde kwa kuchemka...

Eti Kibonde ndio alimkaribisha Lowassa kuhutubia badala ya Mwenyekiti wa CCM Arusha.

Poor organisation ever!!
 
Umesema zipo kumi ziorodheshe na maelezo yake

Hawezi kuwa mwalimu wako bila malipo.Ameshakutajia mf. wa yeye kumkaribisha Lowasa jukwaani badala ya kumpa nafasi hiyo mwenyekiti wa ccm mkoa na alimwona ndie aliekuwa amekaa pembeni ya Lowasa. Hapo alikuwa ameshavunja protokali hadi alipokuja kukumbushwa. Sasa zilizobakia umiza kichwa wewe.Au wewe ulikuwa unafuatilia kwenye radio? By the way hiyo nafasi kwa Kibonde ilikuwa kubwa kwake. Yeye anaweza za ndani na watu wachache sio mahali kama pale.
 
@jingalao

Mkuu jingalao, hakuna protokali yoyote iliyokiukwa kwa sababu tukio la kutangaza nia ni informal kama tuu unapomuimbia birthday mwanao nyumbani!. Matukio yenye kuhitaji kuzingatia protokali ni matukio rasmi, formal na sio hayo yasiyo rasmi yaani informal!.

M/K wa CCM hakupaswa kumkaribisha mtu yoyote kwa sababu tukio ni la Lowassa na wengine wote ni waalikwa tuu. Wingi wa watu haulifanyi tukio informal kugeuka formal!. Lile sio tukio la chama wala la serikali ni tukio la mtu binafsi Lowassa hivyo Kibonde was very right!.

Pasco
 
you have a point
 
Cha kushangaza wanaolalamika ni wafuasi wa Chadema kila siku nasema hawa wote wanaojifanya Chadema wote ni mapandikizì ya Lowassa.
 
Tatizo watu wanaishi kwa kukrem, kila sehemu na hii emeingia hadi nyumba za ibada, lengo lilikuwa kutangaza nia, protoko ni akishakuwa rais ndo pritoko zitafuatwa.
 
Leo chadema mmekuwaje. Imekuwaje leo habari ni Lowasa tuuu wakati Slaaa alikuwa na mkutano wake....
Kweli mvua imewanyeshea na mafuriko yawafata
 
vipaza sauti, DJ kukoroga na lakini mwenyekiti ndiye alimkaribusha Lowassa si Kibonde
 
Mkuu jingalao, hakuna protokali yoyote iliyokiukwa kwa sababu tukio la kutangaza nia ni informal kama tuu unapomuimbia birthday mwanao nyumbani!. Matukio yenye kuhitaji kuzingatia protokali ni matukio rasmi, formal na sio hayo yasiyo rasmi yaani informal!.

M/K wa CCM hakupaswa kumkaribisha mtu yoyote kwa sababu tukio ni la Lowassa na wengine wote ni waalikwa tuu. Wingi wa watu haulifanyi tukio informal kugeuka formal!. Lile sio tukio la chama wala la serikali ni tukio la mtu binafsi Lowassa hivyo Kibonde was very right!.

Pasco

Ha ha ha pole sana Pasco hata birthday inafuata protokali.

Kutangaza nia ya kuchukua ofisi kuu ni tukio informal?? Kweli kupenda kubaya.
 
Last edited by a moderator:
DJ mwenyewe magumashi tu kaombwa wimbo wa Sasa Kumekucha mpaka Lowassa kamaliza kuhutubia na hamu imeisha ndio anaupata wimbo yani iliboa kinoma kwa upande wa MC na DJ
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom