Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye miamala ya Sim kila ukilipia bili za serikali kunamakato wanakata nje ya muamala uliofanyika. Kwamfano ukinunua luku ya elfu tano kwa njia ya Simu, unakatwa kama Tzs 55. Alafu inavat...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Seriously, hata mtuhumiwa wa ugoni na mkeo kwenye video atasema imetengenezwa (doctored!). Going forward: 1. TCRA msifuate matakwa ya mtuhumiwa kwenye video aliye report police + RB etc - eti...
23 Reactions
122 Replies
14K Views
Maono yaani baada ya Simba wa Yuda Jiwe kutoka then Rais anakuwa Makonda Waziri Mkuu Gambo na wizara nyeti wanapewa Hapi,Muro na wakina Sabaya nawahakikishia Watanzania ndoto ya Jiwe kuona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanasheria ufafanuzi tafadhali; Kabla ya hukumu, mkurugenzi ndiye alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi katika wilaya. Pia, mtendaji kata alikuwa anasimamia uchaguzi katika kata yake. Katika eneo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku ya leo nilipata bahati ya kusoma historia ya muigizaji maarafu wa vicheko vya kimya kimya, naomba nawe ukae mkao wa kula ili uweze kumjua Charlie Chaplin kama ifutavyo: Vyanzo vingi vinasema...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Moshi bhana , raha sana. Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na...
12 Reactions
102 Replies
9K Views
*ZITTO, MRADI WA BAGAMOYO NA KISA CHA SULTAN MANGUNGO WA MSOVERO* Na Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro, Tanzania WIKI hii wakati ndugu zetu waislamu wakiwa katika tafakuri kuu ya Mfungo wa...
14 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu nimetoka kuambiwa na jamaa m1 Kuna watu wanapita mtaani kukamata ama kufunga biashara kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali hata kama una zungusha nyanya mtaani unashikwa biashara yako...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA. Wiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa maeneo...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Maono yaani baada ya Simba wa Yuda Jiwe kutoka then Rais anakuwa Makonda Waziri Mkuu Gambo na wizara nyeti wanapewa Hapi,Muro na wakina Sabaya nawahakikishia Watanzania ndoto ya Jiwe kuona...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marukufu kuuzwa kwa nyaya za kupitia mawasiliano (Data Cable) zilizokuwa zikiuzwa kwenye baadhi ya maduka ya vifaa vya kielektroniki baada ya kubainika...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu! nina rafiki yangu yupo Boston marekani, alikuwa anafanya kazi ya kuendesha magari ya mizigo(trucks) ila kwa sasa ameachishwa kazi.. Hana kazi ya kufanya na mazingira yake ya kuishi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wewe nani????? Unashindwa kujua kauli zako za kiburi sio lolote mbele ya mungu? Au umesahau ulipokalia walikuepo watu na busara zao walikuapo na walikuwa na kauli za kujenga taifa. Cheo ni zamana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nimekua na changamoto ya kukosa uwezo wa ku associate na watu zaidi ya watu basi Mara nyingi tukiwa watu zaidi ya hiyo idadi tajwa natoka fasta hapo. Hua naburudika Sana nikiwa mwenyewe tu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Naona hiki kinywaji kitapata wateja wengi sasa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tatizo letu watanzania tumekalia umbea mganda anatumia msiba wa dr mengi kutengeneza fursa za kuuza beji zenye picha ya hayati dr mengi ilihali sisi tulienda kushangaa jeneza na kuangalia nani...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Back
Top Bottom