Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pengine hili sio jukwaa sahihi kwa chapisho hili lakini ninhependa kufahamishwa tu kwa hapa dar wapi nnaweza pata kitabu hicho cha Robert Kiyosaki? Na pia nkipewa na bei ntashkuru sana. Sent...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kipindi cha nyuma malalamiko yalikuwa mawili tu katika mapambano ya maisha. " Mchana Inzi usiku Mbu" Sasa uswahilini kilio kimezidi." Kuanzia Asubuhi mpaka Jioni ni Inzi na Mbu wa Dengue na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye mazishi sikuhudhuria ila nilifatilia MUBASHARA kupitia kwenye TV mbalimbali,ule musiba walemavu walikuwa na #sura ya huzuni#machungu#machozi ya damu kutoka moyoni mwao kitendo...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Karibia wote wakishatekwa tu moja ya Mateso yao makubwa ni ' Kusodomiwa ' Mubashara kabisa na Kundi la Watu huku Kamera nazo zikikumulika. Naomba sana hii tabia mbaya ya hapa Kisiwani Puerto Rico...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyezi MUNGU anayotabia ya kuwatumia wale watu ambao wamekataliwa. MUNGU anayo tabia ya kuwabariki wale watu ambao wamedharauliwa, kuumizwa na kufedheheshwa. . MUNGU anayotabia ya kuwainua...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Line yangu ina umri wa mtu. Nimeanza kuitumia 2001 mpaka leo. Ila nimeamua kuwapumzisha mpaka mtakapo jirekebisha. Shida kubwa mnatufanya tuongee kama wendawazimu. Mtandao wenu una scrathing sana...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Mimi nipo kimara baruti kunasikika mlipuko mara 3 sasa sijui ni kitu gani,ila sio maeneo yetu ni kusini mashariki ukiwa kimara baruti. Asante
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Tumeskia tu mara ulifanya kazi ukaacha ukaanza kuanzisha viwanda na hukuanza na ipp moja kwa moja vipo ilivyoanzisha vikafeli kwanza, je ULIPATA WAPI MTAJI, wengi tunajua kuanzisha kiwanda sio...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamaa alisoma Project Management akamaliza University akakaa miaka miwili bila kazi. Akaamua kurudi chuo kusoma Diploma ya Lab Technology. Amemaliza anasubiria kazi, amepata kazi kwenye kozi ile...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu Kama ilivyo Ada kesho mwamba Yule Yule gwajiboy au mchungaji gwajima atakuwa na misa yake pale maeneo ya ubungo katika kanisa LA ufufuo na uzima. Na kesho kutokana na habari za ndaniii...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
May 11, 2019 Source : ABC Habari JWTZ Watoa Onyo Kali Wananchi Wanaovamia Maeneo ya Jeshi Jeshi la wananchi Tanzania limewataka wananchi kutovamia maeneo maalumu yaliyotengwa kwa matumizi ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amemwagiza Osa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kimadini wa Kahama, Andrea Fabian, kuhakikisha anafungua soko la madini ya dhahabu haraka ili kuwapunguzia adha...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu Mi sina maneno mengi. Picha inaongea. Wenye ujuzi zaidi mnaweza kuongezea nyama. Maisha ndio haya haya. Twende kazi. Tiririka.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema halitawavumilia wananchi waliovamia maeneo ya kambi za jeshi kote nchini, likiwataka kuondoka mara moja kwa sababu za kiusalama. Katika tamko...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama ilivyo desturi za kiafrika, mtu anapopatwa na msiba basi huwa kunapitishwa daftari la rambirambi. Lililowekwa picha ya marehemu au jina la aliyefiwa katika sehemu za kazi marehemu alipokuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Napenda kuwashirikisha Watanzania wenzangu, wenye tatizo kama langu na Madaktari wa humu JF kama nilivyowaeleza hapo juu kuwa, tangu nimeanza kutumia dawa hizi za ARTs huwa napata ndoto za ajabu...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Many people throughout the world have a hard time understanding what it means to be a Rasta. For some their troubles in understanding Rasta’s come because they look as Rastafari as only a...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
UPDATES 1: Television ya Agape wanarusha mubashara sherehe hizi pia. Askofu Zachary Kakobe ametangaza kwamba Sherehe za Miaka 30 ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, zitarushwa livestream...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nimeona huko nchi za wenzetu watu hususan celebrities wanapata watoto kupitia surrogates au wanawake wengine wanaowabebea mimba. Anaejua maana ya hilo neno atuelezee kwa ufasaha na je, hii ipo...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Ujana maji ya moto... Wazungu wanasema foolish age! Spichi ndefuuuu za "baba Mengi" alisaidia hivi alinifanya vile, kwenye mazishi mnashindwa hata kuvua kapelo na kumvalia shati decent!
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom