NSSF mjitafakali utendaji wenu urasimu mwingi sana

Tmass

Senior Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
124
Reaction score
108
Nilipewa end of contract last year, nikapeleka ofisini kwao wakasema ukae mwezi moja then ufungue madai nilifanya hivyo .on February 5 nikarudi kufungua madai nikaanza wakanipa form ya kujaza kama kawaida tukamaliza process issues zote ,nilikuwa nategemea check kutoka karibuni lakini ni kinyume na hisia zangu ,promised to make payment in April but no pay .Kwa hiyo nasubiri tena mwezi wa sita ndio promised.
 
Jiandae kisaikolojia kutopata pesa hivi karibuni, mwenzio NSSF Ubungo tangu Desemba 10, 2019 nimepewa ahadi ya kupata mafao ya kukosa ajira, hadi naandika ujumbe huku, ni ahadi hewa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom