muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,098
- 1,056
niulize mimi chochote kuhusu tohara ya mwanaume.
nitajibu maswali yenu zamu kwa zamu
nitajibu maswali yenu zamu kwa zamu
ni mila na desturi zao.Kwanini wakinga wengi hawatahiriwi?
ki biologia ( sayansi ) humuweka mtu kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mkojo.ni kweli govi halina faida ndio maana hukatwa?
mkuu hii ni tohara ya kitaalam,Wanatumia mikasi ileile je hakuwezi kua na maambukizi yaambukizwayo kwa jia ya damu?