Kweli Africa tuna huruma sana ...unapigana na Askari mwenye silaha kwa kujiamini kabisa na Uhuru....
Nikiangalia namna Polisi wa America wanavyodeal na muarifu mara nyingi wengi huishia kupigwa...
TMA waliitisha press kabisa kuhusu mvua zinazoendelea hapa Dar na kusema mvua hizi zitaendelea hadi Jumapili
Ila kwenye simu yangu, nikacheki utabiri nikaona tofauti na wa TMA inasema Jumapili...
Hili tatizo linazorotesha shughuli za uchumi pia ni aibu kwa nchi yetu. Wageni wanaoishi, kufanya kazi au kutembelea Dar Es Salaam wanakwenda na taswira gani ya nchi yetu wakirudi makwao?
Dar Es...
1. Kudharau wasomi na kupendelea wananchi. Fikiria Sudan daktari mtumishi alikuwa anapata mshahara minimum dola 60 kwa mwezi na ukiweka makato MTU haondoki na hela ya kutosha kukidhi...
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.
Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti...
Habari humu jamvini! Naomba ufafanuzi kwa mwenye ufahamu kuhusu kodi kwa watumishi wa umma.Mimi ni mtumishi wa umma katika moja ya taasisi za serikali,nimekuwa nikifuatwa mara kwa mara na viongozi...
Mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) sasa unasafirisha watu 200,000 kwa siku kutoka watu 50,000 iliyokuwa ikisafirisha mwaka jana baada ya mradi huo kuanza kazi.
Kuongezeka kwa idadi hiyo...
Igweee,
Poleni na msiba watanzania wenzangu!!
Baba yetu na aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya nne na mgombea kipenzi cha watanzania Mh. Edward lowassa ambaye kila shughuli za misiba na shughuli za...
Mada maalum
Katika maisha huwa kuna mambo watu hufanya lakini ukiangaliwa upande wa pili au jicho la tatu hayana maana binafsi haya ni mambo ambayo huwa siyafanya au sitoyafanya.
Pengine ni...
Ni jambo la kusikitisha kwamba bus linaishiwa MAFUTA nje kidogo ya stand ya msamvu pale jirani na kiwanda cha alliance cha zaidi ni kwamba bus hilo starter yake haifanyi kazi ni la kusukuma...
Basi la Kampuni ya Mtei lililokuwa likitoka Babati kuelekea jijini Dar es Salaam limegongana na basi dogo katika eneo la Himiti mjini Babati
Inadaiwa kuwa Mwanafunzi wa Shule ya msingi Silver ya...
Kwa viongozi wetu wa juu nchini watendaji serikalini na wanasiasa kwa jumla, msemo wa viwanda hauwatoki midomoni kila wanapopata fursa katika majukwaa.
Kimsingi msemo huo hauwezi kuwatoka kwa...
Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do.
It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost...
Basi la abiria Dar -Tbr limepata ajali asubuhi hii likiwa safarini kutokea Dar es salaam kwenda Tabora
Habari zaidi -update- zitafuata kadri zitakavyopatikana.
TAASISI ZA KIDINI NA JUMUIYA ZA KIJAMII KUHAKIKIWA KUANZIA MEI 20
Awamu ya kwanza ya uhakiki itafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuanzia Mei 20 mpaka Mei 30
Nyaraka zinazohitajika...
Huyu mwana mama alitikisa nchini siku kadhaa zilizopita akituhumiwa kutakatisha hela na mambo mengine kibao. TAKUKURU waliomba popote alipo duniani ajisalimishe.
Je kajisalimisha?
Kutokana na utendaji kazi wa mheshimiwa Makala hasa katika utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi, ikiwemo mgogoro wa soko la Mwanjelwa, madai ya wananchi na uwanja wa ndege na kupungua kwa kiasi...
Serikali imesitisha kwa muda matumizi ya sheria ya vipimo inayotaka kutumia vifungashio katika usafirishaji wa viazi mviringo kutoka maeneo ya uzalishaji kwenda sokoni.
Akisoma hotuba ya bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.